maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  2. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Mchora katuni maarufu "Oscar Makoye"

    OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU TANZANIA. ______________________ Katika pita pita zangu nime bahatika kukutana na moja Kati ya wachoraji maarufu wa katuni Hapa Nchini Tanzania kwenye mangazeti mbalimbali ya udaku na siasa na huyu si mwingine ni "Oscra makoye" ... Naimani jina hili sio ngeni...
  3. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Bodaboda nyingi sasa hivi hazina Vioo vya pembeni, (Side mirrors)?

    Thread was deleted
  4. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  5. F

    JamiiForums Tanzania "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Orodha tukufu ya Wanawake maarufu niliowahi kuwahusudu na kuishia kuwala kwa macho

    Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa. 1. Miriam Odemba Huyu manzi...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

    Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu. Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanawake walivyoishusha hadhi dhambi ya uzinzi kuwa sawa na dhambi maarufu Afrika ya Uongo

    Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda. Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli upoje kuhusu stori kwamba JWTZ ilibaki Uganda kuanzia 1978 hadi 1983 na katika kipindi hicho Uganda lilikuwa koloni letu kwa muda?

    Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi. Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo. Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi? JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

    Kwema Wakuu! Sijui anatumia uchawi gani. Sijui anatumia mbinu gani za kimedani. Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja. Kama ni riadha za siasa tunasema Makonda angeshatangazwa ndiye Mshindi kwa sababu tangu aingie kwenye...
  11. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

    kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo. Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
  12. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
  13. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Nafasi na mchango wa watu maarufu katika maandamano ya leo tarehe 24 Januari

    Wasalaam, Kwanza nianze kwa kuwapongeza chama cha demokrasia na maendelea (CHADEMA) kwa uthubutu wao wa kuanzisha na kuratibu maandamano haya ya amani kama njia ya kufikisha ujumbe wao kwa serikali tawala na hata jamii ya kimataifa. Kwa upekee sana nipende kuisifu serikali tawala na vyombo vya...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu amekublock?

    Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored. Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini? Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu ni Crush wako?

    Ni mtu gani maarufu alikuvutia zaidi na ukatamani angekuwa Mpenzi wako? Mimi ni huyu Binti wa Kifilipino Kristine Hermosa. Mtaje Crush wako nawewe..!
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Una namba ya mtu maarufu?

    Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

    1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watanzania Maarufu waliofariki dunia mwaka 2023

  20. S

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
Back
Top Bottom