Habari wadau,
Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli.
Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone jinsi yanavyomjibu kwa vitendo.
Baada ya muandishi kufanya hivyo kwa kumsalimia jini KIMBUNGA ndipo watazamaji wakagundua Dr manyau nyau anamchezesha jini feki anayeitwa kimbunga kwa remote control iliyofichwa na cover juu yake. na wala sio miujiza ndio inamfanya jini huyo atingishike kumjibu mtangazaji. ni kitoy cha cha kichina chenye vibrations kimevishwa tunguli na matambala ndicho kinachezeshwa kwa remote iliyo fichwa na macover kwenye mikono ya manyau nyau kwa ujanja ujanja ili isionekane hiyo remote pia. hivyo kudanganya ni jini linajibu lenyewe
tazama mwenyewe kipande hicho cha video cha mikono ya manyau nyau imeshika nini. uone jinsi waganga wa kienyeji kama Dr manyau nyau walivyo wajanja.