matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda.
Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa kisiasasiasa na ujanjaujanja.
Sasa hivi mtu akila tunda kimasihara au kwa kusudiana sio habari ya kujivunia bila kujali ni mke wa mtu, msomi, mwasasiasa, mzungu, mchina, mchungaji au ustaadhat hatushangai ni kawaida kabisa.
Ushauri:
Jitahidi kushughulika na mambo ya maana sio kufukuzia wana wa kike maana kwa sasa ni sawa na kuwinda kuku wa kisasa broiler kwa mishale na mabomu.
Zinaa sio kitu cha kujivunia au kujipongeza. Ni afadhali uokoe Muda kwa kutafuta utakayemvumilia uoe kisha uendelee na harakati nyingine za maisha.
Ni hayo tu.