Mtaa wa Congo upo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mtaa huu umekuwa Maarufu sana kwa Wingi wa Watu toka Mwaka 1920 mpaka leo.
Je, UMAARUFU wa Mtaa huo ni NINI?
Kwanini Muda wote una Watu Wengi Tofauti na Mitaa Mingine?
Je, kuna Biashara gani kwenye Mtaa huo inayokusanya Watu wengi kiasi hicho?
Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
BURUDANI 'Sisi ni maarufu OG sio wa IG" - Ferooz
Hapo jana Hitmaker wa ngoma ya starehe Ferooz akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV amewachana wasanii wa sasa wasiosapoti kazi za wakongwe kwa kusema wao ndio wana umaarufu wa ukweli kuliko wasanii ambao wanaupata Instagram...
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.
PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Kama inayoonekana #
1 mimi binafsi namuweka Jacob Zuma. Kwanza ana mapozi mengi sana na mapozi yote hata bila maelezo yanachekesha😆😆
Huyu ni #2 Yuweri Museveni huyu alianza na picha yake flani aliku akiangalia nyuma huku akionyesha kidole. Ilitamba sana mpaka milardayo akaipost pia.
#3...
Mcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua akiishi uku akiwa ameshikilia sarafu iliyoandikwa maneno "you are always in my heart".
Marafiki wa...
Fimbo ya Rais wa zamani wa Kenya, Hayati Daniel Toroitich Arap Moi ilijulikana sana kama ishara ya nguvu, uongozi na mshikamano wa kitaifa.
Fimbo hiyo liyotengenezwa kwa pembe za ndovu na dhahabu, ilibatizwa jina la 'Fimbo ya Nyayo'.
Wachambuzi wanasema fimbo hiyo ilikuwa ishara ya nguvu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.