Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono.

Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga.

Kama nawewe umeona matangazo haya kwenye facebuku ya mtu maarufu tusaidie kumwambia hii tabia ya sirini imekuja nuruni hivyo aache kabisa kutazama mambo machafu.

Ila pia inabidi tuyasome masharti ya huu mtandao kuona ni namna gani wanaweza kushtakiwa kwa kuruhusu picha za uchi kusambaa mitandaoni na hivyo kuathiri hata watoto wadogo.
 
Ni watu maarufu tu ndio akaunti zao zina link za ngono au na kwa mtu yeyote mwenye akaunti facebook?
 
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono.

Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga.

Kama nawewe umeona matangazo haya kwenye facebuku ya mtu maarufu tusaidie kumwambia hii tabia ya sirini imekuja nuruni hivyo aache kabisa kutazama mambo machafu.

Ila pia inabidi tuyasome masharti ya huu mtandao kuona ni namna gani wanaweza kushtakiwa kwa kuruhusu picha za uchi kusambaa mitandaoni na hivyo kuathiri hata watoto wadogo.
Mkuu; Hebu tulia kwanza halafu utueleweshe vizuri. Samahani,
1. Hapa unashtaki au unatupa/ unatujulisha Taarifa ? (Unapiga promo)
2. Je, Wewe hufanyi ngono?
Ni hayo tu.
 
Yaan kitu huelewi lkn unakuja kuelezea humu kwel bora ungebaki Facebook huko huko!

Ile sio ads kinachofanyika pale ni account mojawapo ya marafiki zako inakua imedukuliwa ko inakua inapost hzo picha au moja ya rafiki yako anakua tagged ko hadi ww unaona
 
Mimi nimeanza kuacha na account yangu ya facebook kwa sababu hiyo. Unakuta nafungua pages nimeandikiwa suggested for you. Nami siyataki. Nikaona ngoja niwaache na suggestions zao
 
Nilifikiri ni kwangu tu kumbe hili ni janga kwa wote Jana nimeondoa account yangu kwa muda kwanza
 
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono.

Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga.

Kama nawewe umeona matangazo haya kwenye facebuku ya mtu maarufu tusaidie kumwambia hii tabia ya sirini imekuja nuruni hivyo aache kabisa kutazama mambo machafu.

Ila pia inabidi tuyasome masharti ya huu mtandao kuona ni namna gani wanaweza kushtakiwa kwa kuruhusu picha za uchi kusambaa mitandaoni na hivyo kuathiri hata watoto wadogo.
Umesema kweli kabisaa.

Wanaokamia watu wasitembelee pornography sites ndo hao hao wanatumia bando kushusha mzigo
 
Watu wengi hawana uelewa wa kutumia hii mitandao
Unatakiwa uzuie usiwe tagged bila concern yako
 
Back
Top Bottom