lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Bandari ya Bagamoyo lazima ijengwe, basi sio kwa masharti ya kuweka nchi rehani

    Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu kimbelembele kuendesha mazungumzo. Nionavyo mimi viongozi wabinafsi wamejaa kwenye ranks za CCM na...
  2. JamiiForums Tanzania Web developers let's change Tanzania's government web applications look and feel!

    Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe. Nilikaa chini na kutafakari kwa kifupi wala si kwa kina hivyo nimeleta hoja hii wadau mchambue tuone. Hizi interface za...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria; iwe lazima mmiliki wa nyumba au kiwanja kupanda miti isiyopungua minne

    Nawasalimu wana Jamvi. Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika. Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

    Wana JF, Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA. Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  6. JamiiForums Tanzania Ukitaka Ndoa yako iwe na Furaha; lazima uzingatie hili

    UKITAKA NDOA YAKO IWE YA FURAHA, ZINGATIA KANUNI YA MFANANO Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili nimeliandika kuisaidia jamii hasa kuponya fikra za wale ambao bado hawajaoa/kuolewa. Bila shaka andiko hili litakusaidia kwa sehemu kubwa ikiwa utalizingatia. Moja ya makosa makubwa yanayofanywa...
  7. JamiiForums Tanzania Lazima ugeuze shingo

    Mpaka dkt bashiru
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  9. JamiiForums Tanzania Ujio wa kitabu cha Nyuma ya Mapazi na Lazima Ufe Joram

    Kwa wapenzi wote wa riwaya za gwiji, mwenyewe Ben Mtobwa, sasa tunakuletea kitabu chake cha LAZIMA UFE JORAM na NYUMA YA MAPAZIA. Pia katika mlolongo wa vitabu hivyo, utaweza kujipatia nakala mbalimbali zilizoandika na hayati Mtobwa. Vitabu hivyo ni kama; 1. Mikataba ya kishetani 10,000 2...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  11. JamiiForums Tanzania Movie Zone: katika sub-movies au movies ni actor/ actress/ Director gani ukigundua kahusika humo ndani lazima uitafute??

    Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana inapohisi kwamba nchi ina upungufu wa walimu tu

    Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada nyingine kupunguza tatizo la ajira. Ngoja niende kwenye maada kuu kiukweli nchi haina upungufu tu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake hasa wa miaka hii ya utandawazi wakifanikiwa kama wapo kwenye uchumba au ndoa lazima iteteleke (asilimia kubwa sio wote)ipo

    Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
  14. JamiiForums Tanzania Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

    Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne? Nielimisheni tafadhali.
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  16. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  17. JamiiForums Tanzania Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  18. JamiiForums Tanzania Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  20. JamiiForums Tanzania Kila mtoto duniani lazima afanane na baba yake.

    Huu ndio ukweli. Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake. Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao. Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake. Huwezi kuwa na doubt juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…