mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe.
Nilikaa chini na kutafakari kwa kifupi wala si kwa kina hivyo nimeleta hoja hii wadau mchambue tuone.
Hizi interface za tovuti na mifumo ya serikali imekuwa ya kizamani mno, sijui wahusika wanaliangaliaje jambo hili naumia sana napoziona.
Hivyo basi napenda kuwashirikisha devs wote kwa upande wa web apps wazo langu kama ifuatavyo;
Nataka tufanye jambo moja hapa kwenye huu uzi kama kujaribu tu! Ila sijui kama kutakuwa na matumaini chanya.
Je, unaweza redesign UI angalau page kazaa sio zote na kuweka snap hapa jf ili kama itapendeza watu hawa waone na wajitafakari na naamini kuna hatua zinaweza kuchukuliwa.
Now: kama wewe una nafasi/mimi ninayo unaweza fanya hivyo?
Maana system nyingi zinaonekana sio nzuri kimwonekano japo labda kikazi ziko fresh saaa basi hii ni kama homework ya mtu yoyote anayeweza kufanya hivyo.
Bahati mbaya mimi ni mgonjwa kwa sasa ila naamini wiki kadhaa zijazo nitakuwa fit na kama mtaunga mkono jambo hili mimi nitaanza na ajira Portal na nitatupia hapa snap.
Na hili mpaka nione postive feedback kwenye hii thread, wakuu naweza kuwa negative ila naruhusu kukosolewa.
Kifupi:
Tujitolee kuboresha UI za tovuti za serikali na mifumo.
Anyway mimi sijui mambo mengi ila naomba unipinge kwa hoja.
NB: Nilishawahi enda ofisi moja wapo ya kiserikali mwaka 2018 ila hakukuwa na majibu murua/yanayoeleweka kuhisi hili wakasema wana watu wao. Sasa sijui wanajielewa.
Kumbuka pia developer wote wote wa bongo mnaitajika kwenye shindano la beem Africa
Nafikiri kaka yetu Stefano Mtangoo alitupa taarifa hivyo ni vyema kushiriki pia kwa nafasi yako
Hii haiusiani na beem ni wazo langu tu