lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Michango ya ujenzi wa shule sio lazima, wilaya ya Hai Kingereka mnatia aibu

    Kuna watu wanapita kuchangisha fedha sh.5,200 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kingereka ndani ya wilaya ya Hai sehemu inaitwa kingereka jirani na mlima Kingereka walipopita ni nyumba zilizopo jirani na kanisa la wasabato. Hivi kama sijakosea Waziri wa Elimu si alisema watajenga madarasa? Hawa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake, kila utakachomfanyia lazima akuroge

    Utarogwa kwa kumpa hela, ili usiwape watu wengine hata wazazi wako, umpe yeye tu. Utarogwa kwa kumnyima hela, atakuendea kwa mganga ili uache ubahili, anahisi unahonga nje. Ataroga ili umpende, ukimpenda zaidi atakuroga Tena uwe zezeta Atakuroga ili akushike masikio na akupande kichwani, wakija...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Taifa linalojali misingi ya demokrasia lazima litengeneze mazingira kuhakikisha Rais anashinda uchaguzi kihalali

    Lazima mfumo wa uchaguzi wa Rais kizamani ambao hauendani na misingi ya kidemokrasia usiwepo tena hapa Tanzania. Kama kuna mgombea Urais ambaye hajaridhika na matokeo basi kuwepo na utaratibu wa kupinga hayo matokeo mahakamani. Ili kuhoji uhalali wa aliyeshinda. Kuishi na taifa amabalo baada...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka uvaaji wa barakoa uwe jambo la lazima kwenye umma

    Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao. Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo ugonjwa wa Korona ulianzia! Wao waliweka sheria ya lazima kuvaa mask ukitoka nje na hiyo sheria ilikuwa...
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

    Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe. Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu. Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee...
  6. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Je, 'Folic acid' ni ya lazima kwa kila mjamzito? Huku vijijini hawapewi

    Ni ujauzito wake wa kwanza. Ameenda clinic yake ya kwanza at government hospital (kituo cha afya) huku mkoani. Ujauzito week ya 8. Wingi wa damu (HB).... 10.9 Blood group... hajapimwa! Rh.... hajapimwa! PMTCT.... 2. Maralia.... kapimwa (hana) VDRL.... kapimwa (Negative). Kadungwa chanjo...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

    Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu. Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua...
  8. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Manara: Ni vita ndani na nje ya uwanja lazima tupate point 3

    Kuelekea mchezo wa Klabu bingwa barani Afrika wa Simba dhidi ya Al ahly ya Misri, Simba imeitisha mkutano na waandishi wa habari kuelezea maandilizi kuelekea mchezo huo. Mchezo ambao utapigwa siku ya Jumanne tarehe 23 Februari 2021 umebeba kauli mbiu ya 'TOTAL WAR , POINT OF NO RETURN' ...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuoa ni lazima?

    Swali linalotaka jibu sahihi. Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa? Sex atapata nje Mtoto atamzalisha mtu Kufua kuna Laundry Out kuna Hunters Kula hotelini, Uzuri hapati stress Pia soma: Kwani lazima kuoana?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwani lazima kuoana?

    Personally nadhani ndoa ziko overated siku hizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi. Wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani it's better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this...
Back
Top Bottom