lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Makato ya mkopo lazima yamuache Mfanyakazi na kiasi kinachomtosha kujikimu

    Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake Sheria ya Kurejesha Madeni ya mwaka 1970, mfanyakazi hatakiwi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake ghafi...
  2. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba kaa mbali na wanafiki wanaokuzunguka, ni watu hatari sana

    By Daniel Mjema Mwanchi 10/04/2021 Kwanza nawasalimu kwa salaam ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tende kwenye hoja, Kwa miaka mitano na ushee, tumeshuhudia kuibuka kwa kundi ambalo nasema ni la watu wanafiki, ambao husifia hata pale pasipostahili kusifia huku wakigeuza ukosoaji kuwa...
  3. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Angalizo: CCM ni CCM; lazima yeyote iliyompa dhamana aelewe sera na matakwa yake

    Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake. Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake. CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

    Habari wadau..! Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali ianzishe utaratibu wa lazima kwa kila raia kijana kujitolea Jeshini

    Habari wadau..! Leo nilikuwa na ushauri kwa serikali yetu na jeshi letu maana naona wanajipendelea sana,yani jeshi ndio linajipa peke yake jukumu la kulinda nchi wakati jukumu hilo ni la kila raia ,lakini raia tutawezaji kujilinda na kulinda Taifa siku za usoni wakati hatuna mbinu za kijeshi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itangaze kuwa kujikinga na COVID-19 South African variant kuwa jambo la lazima

    Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani. Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lazima Maamuzi Magumu yafanyike hiki kipindi cha mpito (Transition)

    Kipindi cha miaka mitano na ushee, sheria na taratibu nyingi zilivurugwa. Kiufupi heshima juu ya Katiba na Sheria zilipuuzwa na wakati fulani zilitungwa sheria kuhakikisha mafanikio yanapatikana. Sasa hivi wengi wamezinduka. Wengine waliamua kufungia akili zao makabitini na kutanguliza matumbo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima mjue matajiri nasi tuna haki kama Watanzania wengine

    Shalom from Jerusalem. Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi. Pia mmekuwa mkifanya propaganda kuionesha jamii unyonge wa watu wengi unasababishwa na sisi matajiri. Mnaanzisha...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mipango ovu ya mabeberu: "Afrika lazima ibaki maskini siku zote"

    VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua. Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Ndugu yako yuko wapi? Damu yake inanililia udongoni"

    "NDUGU YAKO YUKO WAPI? DAMU YAKE INANILILIA UDONGONI" Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pita pita zangu kwenye kitabu cha Biblia, nilianza kusoma kitabu cha mwanzo sura ya 1, 2, 3 nilipofika sura ya 4 nikashangaa akili yangu ikipata fikra mbalimbali. Nikashangaa nikimkumbuka Ben Saanane...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye Kigogo2014 au Kigogo Kigogo basi angepatiwa donge nono. Kufikia hapo macho yakanitoka, si unajua tena...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

    Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri Ndugulile: Vibao vya anuani za makazi sasa liwe zoezi la lazima

    Waziri Ndugulile najua umechukua hii Wizara hivi karibuni. Baada ya kusimamia suala la vifurushi vizuri; nashauri sasa ugeukie Vibao vya Anuani za Makazi ili tuwe na mfumo rasmi wa utambuzi wa Makazi na zoezi hili liwe la lazima na liwe na vibao vya udongo inavyofanana kote nchini ili tuwe na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni. Tuko mubashara TBC. Updates: Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
  19. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Michango ya ujenzi wa shule sio lazima, wilaya ya Hai Kingereka mnatia aibu

    Kuna watu wanapita kuchangisha fedha sh.5,200 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kingereka ndani ya wilaya ya Hai sehemu inaitwa kingereka jirani na mlima Kingereka walipopita ni nyumba zilizopo jirani na kanisa la wasabato. Hivi kama sijakosea Waziri wa Elimu si alisema watajenga madarasa? Hawa...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake, kila utakachomfanyia lazima akuroge

    Utarogwa kwa kumpa hela, ili usiwape watu wengine hata wazazi wako, umpe yeye tu. Utarogwa kwa kumnyima hela, atakuendea kwa mganga ili uache ubahili, anahisi unahonga nje. Ataroga ili umpende, ukimpenda zaidi atakuroga Tena uwe zezeta Atakuroga ili akushike masikio na akupande kichwani, wakija...
Back
Top Bottom