Movie Zone: katika sub-movies au movies ni actor/ actress/ Director gani ukigundua kahusika humo ndani lazima uitafute??

King Mufasa

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
1,982
2,000
Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
 

Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
404
500
Denzel Washington
Henry Carvill
Samwel Jackson
Robert Downey
Dwayne Johnson
Tiffany Haddish

List ni ndeeeeeeefu

nmecheka Tiffany Hadish, ila Movie akiwa star mwenye jina anaefahamika yoyote mm nawatch sana sana ndg zetu
Michael B Jordan
Jamie Fox
Wilie Smith
Samuel L Jackson
Morgan Freeman
Tom wote kuanzia Hard, Hank.. etc mpak mwisho
Chrises wote stock ya Hollywood
Harrison Ford, Mel Gibson, Clint Eastwood hao wazee Ukija wadada Angelina Jolie damn my favorite, Jenifer Lawrence, Scarlet J,Mila Jovovich, Kate Wote Bekinsale, na yule Blanchet

Mkongwe Stallone Binafsi naona ndio binadamu anaejua kushika bunduki kuliko any Hollywood actors kiukweli the List is endless , i can do this all day sema kikubwa ni Gud movie maana hata Chinese characters wanyamwez Kuanzia Jet, Donnie, Michele Mpaka Akwafina
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom