Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

Pslmp

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
1,622
2,459
Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu

Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani

Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na kutaka katiba mpya anamalizia kumtaja Rais kwamba aliangalie Jambo hili?

Ulazima huo wa yeye atake asitake lazima katiba iandikwe tu unatoka wapi sasa?

Je, ni sheria ipi inayomlazimisha Raisi kwamba, linapokuja swala la kudai katiba mpya ni lazima atekeleze mara moja??

Kama hakuna sheria inayomlazimisha hivyo Rais kusimamamia uandikwaji wa katiba mpya, Ni Kwa namna Ipi Bora ambayo itatufanya tuipate hiyo katiba mpya?

Je, tunaweza kuandika katiba mpya hata mh Rais tusipomshirikisha au asipotaka kukubali kuandikwa Kwa katiba hiyo??

Je, ni Nani mwingine kikatiba anaweza kusaidia Jambo hili lifanyiwe utekerezaji wake hata Raisi asipotaka??

Kama hakuna kabisa mbadala wa Rais kusimamia hili Jambo la uandikwaji katiba mpya, jibu lake itakuwa ni kweli hisani ya Rais kupata katiba mpya ndio mwarobaini wa kelele zetu?

Je, sasa ikiwa ndio hivyo, wanaharakati wanaodai kuwepo katiba mpya, watumie Mbinu ipi ikiwa Mh Raisi hatokubali kupokea hitaji hili mhimu Kwa sasa

Kwenu, wadau wa sheria
Asante
 
Mimi si mwana Sheria, ningependa kujifunza kutoka Kwa Wanasheria hapa
 
Hapa Pana hoja...!

Maana yake, kama ni hisani ya mtawala aliyepo, Chadema na wote wanaoshinikiza uwepo wa katiba mpya mwisho wa shinikizo lao ni kuona Mh Rais akitoa huruma yake kwamba afanye

Na asipoingiwa huruma maana yake mashinikizo hayo yanasubiri Chama kitakachoingia madarakani kilichoipa kipaombele Katiba kwenye ilani yake

Mbona tunasafari ndefu
 
Mkuu, binafsi ninakiu kusikia kutoka Kwa wataalamu wa Sheria zatu watusaidie
 
Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu

Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani

Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na kutaka katiba mpya anamalizia kumtaja Rais kwamba aliangalie Jambo hili?

Ulazima huo wa yeye atake asitake lazima katiba iandikwe tu unatoka wapi sasa?

Je, ni sheria ipi inayomlazimisha Raisi kwamba, linapokuja swala la kudai katiba mpya ni lazima atekeleze mara moja??

Kama hakuna sheria inayomlazimisha hivyo Rais kusimamamia uandikwaji wa katiba mpya, Ni Kwa namna Ipi Bora ambayo itatufanya tuipate hiyo katiba mpya?

Je, tunaweza kuandika katiba mpya hata mh Rais tusipomshirikisha au asipotaka kukubali kuandikwa Kwa katiba hiyo??

Je, ni Nani mwingine kikatiba anaweza kusaidia Jambo hili lifanyiwe utekerezaji wake hata Raisi asipotaka??

Kama hakuna kabisa mbadala wa Rais kusimamia hili Jambo la uandikwaji katiba mpya, jibu lake itakuwa ni kweli hisani ya Rais kupata katiba mpya ndio mwarobaini wa kelele zetu?

Je, sasa ikiwa ndio hivyo, wanaharakati wanaodai kuwepo katiba mpya, watumie Mbinu ipi ikiwa Mh Raisi hatokubali kupokea hitaji hili mhimu Kwa sasa

Kwenu, wadau wa sheria
Asante
Ukitaka uone mbio za CCM ongelea kuhusu katiba mpya hawapendi kusikia 'unscrupulous leadership'
 
Mimi nawalaumu wote walioshiriki kuandaa katiba mpya kipindi kile halafu wakasusa, Leo tungekuwa na katiba mpya
Ilikuwa bado kidogo tu tupate katiba mpya, katiba ikawa ni ya kisiasa na uvyama ukitawala ndani ya Bunge Hilo la katiba,

Lile Bunge la katiba, linapaswa lirudishe pesa zote za walala Hoi walizokuwa wakijilipa, maana walifanya uharibifu mtupu na ufujaji wa fedha zetu
 
Mimi nawalaumu wote walioshiriki kuandaa katiba mpya kipindi kile halafu wakasusa, Leo tungekuwa na katiba mpya
Mkuu, bado swali la msingi liko palepale, katiba ni hisani ya Rais ama ni takwa kisheria na Kwa Sheria ipi, ama ni hitaji pindi kunapotokea magepu Fulani, ama haswa katiba mpya ni hitaji la Vyama ama wananchi
 
Kinadharia Katiba na Sheria ni matokeo ya matakwa ya wananchi
Kiuhalisia Katiba na sheria ni matokeo ni wanasiasa na watawala.

Ni ngumu kupata katiba bila kuwashawishi au kuwasukuma wanasiasa na watawala, maana katiba ikibadilika, kuna watu watapoteza na kuna wengine watapata. Check Kenya Kenyatta anavyopata tabu, Rais wa Kenya kabanwa sana na Katiba mpya.
 
Huu ndiooo ukweli
 
Kama vipi tuidai kwa nguvu! 🥵

Vikina lazaro mambosasa na muroto vikisikia kauli hizi basi tayari vinakimbilia kwenye midia kuchimba mkwara mzito!!

"Ore wake atakaye jaribu kuandamana! Atakacho kipata, ataenda kumsimuria bibi yake mzaa mama" Utafikiri vizazi vyao havitakuja kufaidika na hiyo katiba! Kisa tu wananufaika na mfumo uliopo wa ccm!
 
Kinadharia Katiba na Sheria ni matokeo ya matakwa ya wananchi
Kiuhalisia Katiba na sheria ni matokeo ni wanasiasa na watawala.

Ni ngumu kupata katiba bila kuwashawishi au kuwasukuma wanasiasa na watawala, maana katiba ikibadilika, kuna watu watapoteza na kuna wengine watapata. Check Kenya Kenyatta anavyopata tabu, Rais wa Kenya kabanwa sana na Katiba mpya.
Mamaee.. ! Navyoijua nchi yangu, watu wake hawako tayati kudai haki Yao Kwa nguvu, Tunatokaje hapa..?

Nimekuelewa Sana mkuu
 
Bunge ndio sauti yako
Sasa mkuu, Bunge Kweli ni sauti yangu, lakini halina sauti moja hapo bungeni kuhusu katiba, kuna wachache ambao wanaoitaka katiba mpya, lkn wengi wao hawaitaki na Kwa vile tu kwao inawapa manufaa, Tunatokaje sasa?
 
Nchi hii tangu ipate uhuru ilipangwa na iliwekwa kutawaliwa kidikteta. Kwa hiyo msifikiri kuwa wananchi wanaweza kuzunguka kisheria kupata katiba mpya kama Rais hataki. Sahau hilo.
 
Katiba ni twkwa la wananchi. Kwasabb katiba mkataba unaoeekeza watawala namna ya kuendesha uchumi na siasa za nchi.

Kwahiyo mkataba (katiba) ukiwa mbovu kama huu wetu unaompa mtawala nguvu kuliko wananchi, mtawala ananufaika zaidi. Na haumuwajibishi.

Ndiyo maana katiba hii kamwe haiwezi kubadilishwa na watawala bila kushinikizwa na wananchi.

Wananchi tukiendelea kulala tusahau kuhusu katiba mpya.
 
Na Rais anatamka kabisa kwamba "katiba isubiri kwanza" utadhani katiba ni huruma yake yeye....
 
Back
Top Bottom