lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

    Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika. Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi. Nani atatufaa? Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo? Maendeleo hayana vyama.
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Barakoa hazitakuwa lazima, kufanya kazi tokea nyumbani kufikia tamati

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya kupata chanjo ya nyongeza. Kuanzia Januari 26 hakutakuwa na ulazima wa kuvaa barakoa shuleni na maeneo...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

    Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali kwingine kokote. Maswali hayo yamekuwa wakati mwingine yakiuliza chanzo changu cha hamasa ya Chama...
  4. MAGAMBA MATATU

    JamiiForums Tanzania Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

    Tanzania kuna mihimili mitatu, 1. Serikali 2. Bunge 3. Mahakama Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi 'Mashemeji' zangu 'Wachagga' kwani ni lazima muende Kwenu Kilimanjaro kila 'Krismasi' tu?

    Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba? Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu. Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Sisi ni Watanzania,huruma yetu lazima iwe ya Kitanzania,asema Rais Samia.

    Alipojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe juzi,rais alisema demokrasia yetu ni changa. Tusijilinganishe na wale ambao demokrasi yao ina miaka mia mbili. Kwa hiyo unapoongea kuhusu kutaka kumsamehe Mbowe,lazima ufikiri kwanza. Unaweza kumuachia huru yule mtu,halafu ukakuta kwamba you are offending...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  9. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Hi guys. Hope mnado poa. Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2. Hii ni nyepesi nyepesi. At Calvary. ==== Taarifa kwa Vyombo vya Habari. Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake. Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia...
  11. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kazi za kujitolea imekuwa lazima?

    Habari za leo wakuu, Mimi nina nyumba Maji ya chai, Kijiji Cha Imbaseny, Arumeru, Arusha. Leo nikiwa huku kijiini viongozi wa Kijiji wanapita kutangaza watu watoke wakajenge madarasa kwa nguvu. Kumbuka leo ni siku ya kazi kwa waajiriwa. Ukienda kazini usipoonekana kwenye ujenzi wa madarasa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

    Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
  13. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Vijana lazima tujifunze, aliye nacho huongezewa!

    Crdb bank wanampongeza makamu mwenyekiti wa bodi yao kuteuliwa kua mwenyekiti wa bodi ya ATCL. Maana yake huyu ni mjumbe wa bodi 2 na nyingine nyingi, hapo posho za vikao sio za kitoto. Wakati huo huo ni mwalimu wa chuo kikuu. Juzi mliona wajumbe wa Jakaya Kikwete Foundation, wengine DCB Bank...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Costa Rica: Chanjo ya COVID-19 kwa watoto yawa lazima

    Costa Rica yaiorodhosha Corona kama ugonjwa ambao chanjo zake zinatolewa kwa watoto kwa mujibu wa sheria ambapo wazazi wanaweza kuadhibiwa kwa kutotii amri hiyo Utoaji wa chanjo kwa watoto utaanza rasmi 2022. Watu wa Costa Rica wanarekodi ya kugomea chanjo kadhaa kwa watoto Kuanzia Januari 8...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya wamachinga lazima yawe na kikomo cha umachinga

    Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa. Sio sawa kwa machinga kufanya biashara yake eneo hilo milele, ni lazima mmachinga apewe muda maalum...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Katiba lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo

    "Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo, kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa ITV Dakika45.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais avunje wizara za TAMISEMI na Utumishi ili kupunguza matumizi

    Wadau Salam kwenu Moja kwa moja kwenye mada Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je! Ni lazima developer ajue kila component ya IDE na kazi zake?

    Habari developer, mimi sipo vizuri sana kwenye coding lakini nashukuru angalau napata uelewa mpana kila siku Sasa nataka nianze kutumia visual studio ide, balaa ni hizo component baadh baadh sizielew je kuna umuhimu wa kujua zote na kazi zake
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo madirisha ni lazima yawe na grills

Back
Top Bottom