LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.
Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa...
Kumekuwa na utaratibu mbaya sana watu kuchukuwa mikopo mabenkI bila kuwa na utaratibu sahihi utakaowawezesha mikopo hiyo ijilipe wenyewe bila ya kuathiri vipato vyao ila wengi wamekuwa wakifanya maamuzi ya uchukuaji wa mikopo bila ya kupitia taasisi ya DEVELOPMENT SOLUTION GATE kuwapa miongozo...
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus)...
Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni muhimu kuchunguza historia ya mgombea anavyotekeleza ahadi zao za kampeni...
Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea kuutafuna upinzani mpaka mifupa.
Kitendo Cha CHADEMA kuambulia mbunge wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti...
Wachimbaji wadogo wa dhahabu katika Kiiji cha Dilifu kilichopo Kata ya Magamba iliyopo Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kushindwa kutatua mgogoro baina yao, muwekezaji na kikundi kinachomiliki leseni ya uchimbaji madini katika eneo hilo.
Wachimbaji hao...
Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo.
Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi katika uchaguzi ndio kunaleta kitahalani katika taifa. Kumbe labda tu kwasababu hawana elimu.
"Nadhani...
Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT
Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google.
Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola.
Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
NAMNUKUU
"Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu.
Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike...
Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza kwa kuwaua wapiganaji wa kundi la Hamas kama walivyoitangazia dunia.
Ni siku 90 (miezi mitatu) imepita tangu Israeli iingize majeshi yake ya ardhini ndani ya Ukanda wa Gaza huku wizara ya afya ya Gaza ikisema kuwa wapalestina wapato 22,000 wamepoteza maisha...
Habari za Mwaka Mpya Wakuu!
Kuna Watu ni wepesi sana kutoa vibanzi katika macho ya wenzao ilhali wao wako na boriti.
Serikali imeshindwa!
Rais gani huyo!
Viongozi wa nchi hii ni wajinga sana!
Maneno ni mengi.
Sawa. Ni haki yao. Lakini Haki inapotea pale ambapo mtu hastahili kukosoa kile...
Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine.
Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...
Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana,
Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake.
Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali.
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani...
Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais.
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
Japo kuna baadhi watatetea kuwa kina Putin hawatumii kiingereza lakini ni fedheha kubwa mno kwa msomi ambae kasoma kwa kutumia kiingereza akashindwa kufanya mazungumzo yenye tija kwa lugha hiyo.
Leo kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm watangazaji wote watatu wameshindwa kuwahoji kina...
Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana.
Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache.
Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.