Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
NAMPELEKA MAHAKAMANI MWANAMKE NILIYEZAA NAYE KWA KUSHINDWA KUMHUDUMIA MWANAYE. HOJA NITAKAZOPELEKA MAHAKAMANI NI HIZI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa na kunengua achimenengule kama Akudo band alikuwa akichekelea. Hakujua ikiingia mimba kuna majukumu ya kulea?

Anyway! Hizi ndio Hoja ambazo nimeziandaa kwa ajili ya kungurumisha kesi Mahakamani. Na lazima nipate pesa za matumizi ya mtoto kutoka kwa huyu Mwanamke niliyezaa naye;

1. Uroda tulipata Nusu kwa Nusu tena yeye ndiye alihitaji nyongeza.
Ndugu Mhe. Hakimu. Upatikanaji wa mtoto huyu ni matokeo ya uchu na tamaa zetu mbaya ambazo hata hivyo zilitufurahisha kwani tulistarehe. Na wote tulienjoy Hasahasa huyu Mwanamke yeye alihitaji nyongeza. Na aliipata.
Kama tulivyoshirikiana kupata uroda siku ileile nusu kwa nusu. Basi tushirikiane pia nusu kwa nusu kuwajibika na matokeo ya Uroda ule ambao ndio huyu mtoto wetu.

2. Jenetikali tumempa mtoto Nusu kwa Nusu vinasaba vyetu.
Tena Hakimu kama utakuwa unamacho yanayoona vizuri hutoshindwa kuona kuwa huyu mtoto kachukua sura kutoka kwa Mamaake zaidi. Sisemi kwamba hiyo itamfanya awe na Wajibu zaidi wa kumhudumia mtoto. Ila najaribu kueleza kuwa hata Mwanamke anatakiwa kutoa huduma kwa mtoto wake nusu kwa nusu kwa mwanaye kama alivyochangia chromosome 23 na Mimi chromosome 23 ambayo ndio imemfanya mtoto huyu awe na 46 chromosome.
Kila mtu atunze chromosome zake 23 alizompa huyu mtoto.

3. Haki Sawa .
Mheshimiwa. Hakimu. Kwenye haki Sawa huyu ni mtoto wetu sote. Hivyo ni wajibu wetu kutoa huduma Sawa kiwajibu na kwa Mujibu wa sheria. Kwa mfano kama matumizi na huduma ya mtoto ni 300,000/= kwa mwezi basi kila mzazi atoe 150,000/= kwa sababu ndio Haki.
Mtoto ni mali yetu sote.
Kama kuna atakayetaka kutoa zaidi kwa hiyari/mapenzi yake kwa mtoto hiyo isihusianishwe na sheria na isitajwe hapa Mahakamani kwa sababu ni hiyari na mapenzi ya mtu.

4. Hii itamfanya Mwanamke huyu atafute kazi ya kufanya ili awe na faida kwa taifa.
Mwanamke kumhudumia mtoto wake italisaidia taifa kuondoa utegemezi.
Ndugu Hakimu, nashukuru kwa sababu kwenye kesi hii wewe ni mfano wa wanawake wanaofanya kazi. Na kulitumikia taifa. Ninauhakika hata wewe unahudumia watoto wako. Na hii inapunguza utegemezi ndani ya nchi.

5. Itapunguza kuzaa bila mpango na itadhibiti idadi kubwa ya Watu wasio na tija.
Wanawake wengi wanaozaa watoto wengi ni kwa sababu hawawajibiki kuwatunza na kuwahudumia. Ni aidha wawapelekee Mama na baba zao(Bibi na babu). Au watakuwa wanasumbua wanaume waliozaa nao wawahudumie .
Mwanamke anayehudumia watoto wake ni ngumu kuzaa idadi ya watoto wengi asioweza kuwalea.
Hii itafanya watoto watakaozaliwa wawe na tija.

Mhe. Hakimu, kesi hii kama angekuwa mke wangu au mwanamke ninayeishi naye ingekuwa tofauti kidogo katika hoja zangu nilizotoa. Kwa sababu tungekuwa kitu kimoja yaani familia. Na mimi kama mwanaume ambaye ni mume ningebeba jukumu la Baba na Mume. Lakini kwa sasa sisi hatuishi pamoja hivyo nimebaki na jukumu la Baba na yeye kabaki na jukumu la Mama. Na sisi sio kitu kimoja, sisi sio familia. Ndio maana hii kesi ipo mahakamani.
Naomba hiyo pesa ya matumizi na huduma iingizwe kwenye akaunti yangu ya Benki au namba ya simu anayotumia kuwasiliana na Mimi.
Asante sana.

Sabato Njema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kwakuwa ni maoni yako, nayaheshimu.
Ila mwanaume Mkristo anayewaza majukumu ya 50/50 ni mpumbavu na ni mbaya kuliko asiyemuamini Kristo.

Mwanaume Mkristo lazima aitunze na kuilinda familia yake, asimtegemee mwanamke pesa yake kabisa ila amtegemee Mungu kama msaada wake mkuu pamoja na maarifa aliyokuwa nayo. Afanye kazi kwa bidii na kutegemea Mungu ataibariki kazi ya mikono yake.

Mwanaume Mkristo ni mwanajeshi anayemfuata Yesu, akishindwa kumpenda mwanamke wake, ameshindwa kuonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke huyo. Upendo wa Yesu ni utoaji na sio kupokea kila kitu zaidi ya utii kutoka kwa mwanamke. Mwanaume ni natural giver na kutokana na utoaji huo, mwanamke ataonyesha upendo wake kupitia utii.
 
Hili litawezekana hoja Yangu ya Tanzania iwe Jimbo la 53 la Marekani kama CCM wakielewa, kwahiyo Tanzania itakuwa ni state ndani ya USA kwahiyo hizi sheria zitakuwa emended law za Tanzania state.
 
Kwakuwa ni maoni yako, nayaheshimu.
Ila mwanaume Mkristo anayewaza majukumu ya 50/50 ni mpumbavu na ni mbaya kuliko asiyemuamini Kristo.

Mwanaume Mkristo lazima aitunze na kuilinda familia yake, asimtegemee mwanamke pesa yake kabisa ila amtegemee Mungu kama msaada wake mkuu pamoja na maarifa aliyokuwa nayo. Afanye kazi kwa bidii na kutegemea Mungu ataibariki kazi ya mikono yake.

Mwanaume Mkristo ni mwanajeshi anayemfuata Yesu, akishindwa kumpenda mwanamke wake, ameshindwa kuonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke huyo. Upendo wa Yesu ni utoaji na sio kupokea kila kitu zaidi ya utii kutoka kwa mwanamke. Mwanaume ni natural giver na kutokana na utoaji huo, mwanamke ataonyesha upendo wake kupitia utii.
Lakini hapa hatupo kwenye jukwaa la dini, iwe wakristu au waislamu, hapa tuko jukwaa huru kimawazo.

Hivyo, hoja ya mleta mada inapata nguvu kwa sababu hiyo, jukumu la kulea watoto ni la wote, mwanamke hatakiwi kuwa tegemezi kwa kila kitu toka kwa mwanaume.

- Vipi siku mwanaume akikosa itakuwaje? au ndio atatakiwa kwenda kukesha kanisani kwa maombi kama ulivyoandika?

Kwa mindset hii, ndio maana kina Mwamposa wanatajirika zaidi yetu, kwasababu wameshajua ushaifu wetu ulipo na wanautumia vizuri kutupigia hapo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
NAMPELEKA MAHAKAMANI MWANAMKE NILIYEZAA NAYE KWA KUSHINDWA KUMHUDUMIA MWANAYE. HOJA NITAKAZOPELEKA MAHAKAMANI NI HIZI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa na kunengua achimenengule kama Akudo band alikuwa akichekelea. Hakujua ikiingia mimba kuna majukumu ya kulea?

Anyway! Hizi ndio Hoja ambazo nimeziandaa kwa ajili ya kungurumisha kesi Mahakamani. Na lazima nipate pesa za matumizi ya mtoto kutoka kwa huyu Mwanamke niliyezaa naye;

1. Uroda tulipata Nusu kwa Nusu tena yeye ndiye alihitaji nyongeza.
Ndugu Mhe. Hakimu. Upatikanaji wa mtoto huyu ni matokeo ya uchu na tamaa zetu mbaya ambazo hata hivyo zilitufurahisha kwani tulistarehe. Na wote tulienjoy Hasahasa huyu Mwanamke yeye alihitaji nyongeza. Na aliipata.
Kama tulivyoshirikiana kupata uroda siku ileile nusu kwa nusu. Basi tushirikiane pia nusu kwa nusu kuwajibika na matokeo ya Uroda ule ambao ndio huyu mtoto wetu.

2. Jenetikali tumempa mtoto Nusu kwa Nusu vinasaba vyetu.
Tena Hakimu kama utakuwa unamacho yanayoona vizuri hutoshindwa kuona kuwa huyu mtoto kachukua sura kutoka kwa Mamaake zaidi. Sisemi kwamba hiyo itamfanya awe na Wajibu zaidi wa kumhudumia mtoto. Ila najaribu kueleza kuwa hata Mwanamke anatakiwa kutoa huduma kwa mtoto wake nusu kwa nusu kwa mwanaye kama alivyochangia chromosome 23 na Mimi chromosome 23 ambayo ndio imemfanya mtoto huyu awe na 46 chromosome.
Kila mtu atunze chromosome zake 23 alizompa huyu mtoto.

3. Haki Sawa .
Mheshimiwa. Hakimu. Kwenye haki Sawa huyu ni mtoto wetu sote. Hivyo ni wajibu wetu kutoa huduma Sawa kiwajibu na kwa Mujibu wa sheria. Kwa mfano kama matumizi na huduma ya mtoto ni 300,000/= kwa mwezi basi kila mzazi atoe 150,000/= kwa sababu ndio Haki.
Mtoto ni mali yetu sote.
Kama kuna atakayetaka kutoa zaidi kwa hiyari/mapenzi yake kwa mtoto hiyo isihusianishwe na sheria na isitajwe hapa Mahakamani kwa sababu ni hiyari na mapenzi ya mtu.

4. Hii itamfanya Mwanamke huyu atafute kazi ya kufanya ili awe na faida kwa taifa.
Mwanamke kumhudumia mtoto wake italisaidia taifa kuondoa utegemezi.
Ndugu Hakimu, nashukuru kwa sababu kwenye kesi hii wewe ni mfano wa wanawake wanaofanya kazi. Na kulitumikia taifa. Ninauhakika hata wewe unahudumia watoto wako. Na hii inapunguza utegemezi ndani ya nchi.

5. Itapunguza kuzaa bila mpango na itadhibiti idadi kubwa ya Watu wasio na tija.
Wanawake wengi wanaozaa watoto wengi ni kwa sababu hawawajibiki kuwatunza na kuwahudumia. Ni aidha wawapelekee Mama na baba zao(Bibi na babu). Au watakuwa wanasumbua wanaume waliozaa nao wawahudumie .
Mwanamke anayehudumia watoto wake ni ngumu kuzaa idadi ya watoto wengi asioweza kuwalea.
Hii itafanya watoto watakaozaliwa wawe na tija.

Mhe. Hakimu, kesi hii kama angekuwa mke wangu au mwanamke ninayeishi naye ingekuwa tofauti kidogo katika hoja zangu nilizotoa. Kwa sababu tungekuwa kitu kimoja yaani familia. Na mimi kama mwanaume ambaye ni mume ningebeba jukumu la Baba na Mume. Lakini kwa sasa sisi hatuishi pamoja hivyo nimebaki na jukumu la Baba na yeye kabaki na jukumu la Mama. Na sisi sio kitu kimoja, sisi sio familia. Ndio maana hii kesi ipo mahakamani.
Naomba hiyo pesa ya matumizi na huduma iingizwe kwenye akaunti yangu ya Benki au namba ya simu anayotumia kuwasiliana na Mimi.
Asante sana.

Sabato Njema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
🎤🔊📝🤝👍👌👏🙏🆒💐🎁 🛡️🎖️🏆👑
 
Lakini hapa hatupo kwenye jukwaa la dini, iwe wakristu au waislamu, hapa tuko jukwaa huru kimawazo.

Hivyo, hoja ya mleta mada inapata nguvu kwa sababu hiyo, jukumu la kulea watoto ni la wote, mwanamke hatakiwi kuwa tegemezi kwa kila kitu toka kwa mwanaume, vipi siku mwanaume akikosa itakuwaje? au ndio atatakiwa kwenda kukesha kanisani kwa maombi kama ulivyoandika?

Kwa mindset hii, ndio maana kina Mwamposa wanatajirika zaidi yetu, kwasababu wameshajua ushaifu wetu ulipo na wanautumia vizuri kutupigia hapo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ndo maana nimespecify mkuu kama mwanaume ni Mkristo. Ndo maana nikasema nayaheshimu maoni yake.

Kweli kukosa hela kupo, ila isiwe sababu ya kutaka 50/50. Kwa Mkristo hiyo mindset ya mwanamke kukupa msaada inabidi isiwepo. Hata kama ikatokea physically, unaweza chukua pesa kutoka kwa mwanamke na kufanya biashara then unamrudishia pesa yake.
 
Ndo maana nimespecify mkuu kama mwanaume ni Mkristo.

Kweli kukosa hela kupo, ila isiwe sababu ya kutaka 50/50. Kwa Mkristo hiyo mindset ya mwanamke kukupa msaada inabidi isiwepo. Hata kama ikatokea physically, unaweza chukua pesa kutoka kwa mwanamke na kufanya biashara then unamrudishia pesa yake.

Kwenye hii dunia Wakristo hawana sheria inayowaongoza mkuu. Tofauti na Waislamu
 
Nimesoma hoja zako za kishuleshule na kimtaani.

Ninachokiona hapo ni kuwa huna uelewa wa kutosha kuhusu malezi ya mtoto na aina ya michango ambayo kila mzazi anatakiwa ampe mtoto wake.

Ni baba wa kwanza kumsikia anayejidai kutaka kutega kwenye kuihudumia familia yake !!

Sasa kama chakula tu chanyumbani kinakupa msongo wa mawazo, je kuwajengea? Hujui ni jukumu lako? Tena huyo mke apendeze baba wewe mpaka tumezee mate!! Hilo nyumba za ibada na kwa makuhani wa giza wote watakuambia ni jukumu lako.

Amka !
 
Mt.Paulo alisema Mwanaume ampende mwanamke wake kama Kristo anavolipenda kanisa.

Kristo analihudumia kanisa kwa kumpa mahitaji ya kiroho na kimwili. Hajawahi liacha kanisa.

Hivyohivyo kwa mwanaume Mkristo inabidi ampende mke wake kwa kumhudumia na kutomuacha/kutomsaliti ndo tunaonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke.
 
Kwakuwa ni maoni yako, nayaheshimu.
Ila mwanaume Mkristo anayewaza majukumu ya 50/50 ni mpumbavu na ni mbaya kuliko asiyemuamini Kristo.

Mwanaume Mkristo lazima aitunze na kuilinda familia yake, asimtegemee mwanamke pesa yake kabisa ila amtegemee Mungu kama msaada wake mkuu pamoja na maarifa aliyokuwa nayo. Afanye kazi kwa bidii na kutegemea Mungu ataibariki kazi ya mikono yake.

Mwanaume Mkristo ni mwanajeshi anayemfuata Yesu, akishindwa kumpenda mwanamke wake, ameshindwa kuonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke huyo. Upendo wa Yesu ni utoaji na sio kupokea kila kitu zaidi ya utii kutoka kwa mwanamke. Mwanaume ni natural giver na kutokana na utoaji huo, mwanamke ataonyesha upendo wake kupitia utii.

Lazima uélewe kwenye Ukristo ndio haki sawa ipo.
Bila Ukristo hakuna haki sawa Duniani.
 
NAMPELEKA MAHAKAMANI MWANAMKE NILIYEZAA NAYE KWA KUSHINDWA KUMHUDUMIA MWANAYE. HOJA NITAKAZOPELEKA MAHAKAMANI NI HIZI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa na kunengua achimenengule kama Akudo band alikuwa akichekelea. Hakujua ikiingia mimba kuna majukumu ya kulea?

Anyway! Hizi ndio Hoja ambazo nimeziandaa kwa ajili ya kungurumisha kesi Mahakamani. Na lazima nipate pesa za matumizi ya mtoto kutoka kwa huyu Mwanamke niliyezaa naye;

1. Uroda tulipata Nusu kwa Nusu tena yeye ndiye alihitaji nyongeza.
Ndugu Mhe. Hakimu. Upatikanaji wa mtoto huyu ni matokeo ya uchu na tamaa zetu mbaya ambazo hata hivyo zilitufurahisha kwani tulistarehe. Na wote tulienjoy Hasahasa huyu Mwanamke yeye alihitaji nyongeza. Na aliipata.
Kama tulivyoshirikiana kupata uroda siku ileile nusu kwa nusu. Basi tushirikiane pia nusu kwa nusu kuwajibika na matokeo ya Uroda ule ambao ndio huyu mtoto wetu.

2. Jenetikali tumempa mtoto Nusu kwa Nusu vinasaba vyetu.
Tena Hakimu kama utakuwa unamacho yanayoona vizuri hutoshindwa kuona kuwa huyu mtoto kachukua sura kutoka kwa Mamaake zaidi. Sisemi kwamba hiyo itamfanya awe na Wajibu zaidi wa kumhudumia mtoto. Ila najaribu kueleza kuwa hata Mwanamke anatakiwa kutoa huduma kwa mtoto wake nusu kwa nusu kwa mwanaye kama alivyochangia chromosome 23 na Mimi chromosome 23 ambayo ndio imemfanya mtoto huyu awe na 46 chromosome.
Kila mtu atunze chromosome zake 23 alizompa huyu mtoto.

3. Haki Sawa .
Mheshimiwa. Hakimu. Kwenye haki Sawa huyu ni mtoto wetu sote. Hivyo ni wajibu wetu kutoa huduma Sawa kiwajibu na kwa Mujibu wa sheria. Kwa mfano kama matumizi na huduma ya mtoto ni 300,000/= kwa mwezi basi kila mzazi atoe 150,000/= kwa sababu ndio Haki.
Mtoto ni mali yetu sote.
Kama kuna atakayetaka kutoa zaidi kwa hiyari/mapenzi yake kwa mtoto hiyo isihusianishwe na sheria na isitajwe hapa Mahakamani kwa sababu ni hiyari na mapenzi ya mtu.

4. Hii itamfanya Mwanamke huyu atafute kazi ya kufanya ili awe na faida kwa taifa.
Mwanamke kumhudumia mtoto wake italisaidia taifa kuondoa utegemezi.
Ndugu Hakimu, nashukuru kwa sababu kwenye kesi hii wewe ni mfano wa wanawake wanaofanya kazi. Na kulitumikia taifa. Ninauhakika hata wewe unahudumia watoto wako. Na hii inapunguza utegemezi ndani ya nchi.

5. Itapunguza kuzaa bila mpango na itadhibiti idadi kubwa ya Watu wasio na tija.
Wanawake wengi wanaozaa watoto wengi ni kwa sababu hawawajibiki kuwatunza na kuwahudumia. Ni aidha wawapelekee Mama na baba zao(Bibi na babu). Au watakuwa wanasumbua wanaume waliozaa nao wawahudumie .
Mwanamke anayehudumia watoto wake ni ngumu kuzaa idadi ya watoto wengi asioweza kuwalea.
Hii itafanya watoto watakaozaliwa wawe na tija.

Mhe. Hakimu, kesi hii kama angekuwa mke wangu au mwanamke ninayeishi naye ingekuwa tofauti kidogo katika hoja zangu nilizotoa. Kwa sababu tungekuwa kitu kimoja yaani familia. Na mimi kama mwanaume ambaye ni mume ningebeba jukumu la Baba na Mume. Lakini kwa sasa sisi hatuishi pamoja hivyo nimebaki na jukumu la Baba na yeye kabaki na jukumu la Mama. Na sisi sio kitu kimoja, sisi sio familia. Ndio maana hii kesi ipo mahakamani.
Naomba hiyo pesa ya matumizi na huduma iingizwe kwenye akaunti yangu ya Benki au namba ya simu anayotumia kuwasiliana na Mimi.
Asante sana.

Sabato Njema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Itabidi kwanza kutengua Sheria iliyopo ili kuitafutia mashiko hoja yako. Je, Mahakama kati ya kazi za Mahakama, kutengua sheria ni moja ya kazi yake? Au Mwisho wake ni kutafsiri Sheria zilizopo?
 
Nimesoma hoja zako za kishuleshule na kimtaani.

Ninachokiona hapo ni kuwa huna uelewa wa kutosha kuhusu malezi ya mtoto na aina ya michango ambayo kila mzazi anatakiwa ampe mtoto wake.

Ni baba wa kwanza kumsikia anayejidai kutaka kutega kwenye kuihudumia familia yake !!

Sasa kama chakula tu chanyumbani kinakupa msongo wa mawazo, je kuwajengea? Hujui ni jukumu lako? Tena huyo mke apendeze baba wewe mpaka tumezee mate!! Hilo nyumba za ibada na kwa makuhani wa giza wote watakuambia ni jukumu lako.

Amka !

Inaonekana shuleni ulipata sifuri. Ndio maana umeshindwa kuelewa kuwa anayezungumziwa hapa sio Mke na mume(familià) hapa tunazungumzia Watu walioacha.
Na ndio Mahakama inaingia hapo. Sijui kama unauelewa wa haya mambo
 
Lazima uélewe kwenye Ukristo ndio haki sawa ipo.
Bila Ukristo hakuna haki sawa Duniani.
Haki sawa kwenye Ukristo iko kabla ya ndoa. Ila baada ya ndoa hakuna haki sawa. Mwanaume atimize majukumu yake kama kiongozi kwa kuonyesha upendo kwa kumhudumia mwanamke wake na mwanamke aonyeshe upendo kwa mwanaume kupitia heshima na utii.
 
Kwani hapa nazungumzia NDOA?
Soma kwa ufahamu usitangulize mihemko
 
Back
Top Bottom