kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF. Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali. Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  3. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM mmetia aibu leo katika kipindi cha Jana na Leo

    Japo kuna baadhi watatetea kuwa kina Putin hawatumii kiingereza lakini ni fedheha kubwa mno kwa msomi ambae kasoma kwa kutumia kiingereza akashindwa kufanya mazungumzo yenye tija kwa lugha hiyo. Leo kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm watangazaji wote watatu wameshindwa kuwahoji kina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

    Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza. Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha MOSAD kushindwa kutambua mahali walipo mateka kinaifanya dunia ione uongo wa Mazayuni

    Kwema Wakuu! Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda. Nawatakia usiku Mwema
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Dar: Kijana ashushiwa kipondo na Dada poa baada ya kushindwa kulipia huduma

    Kama Kuna Watu wako hatarini kutoweka ni wanaume halisi.....jamaa kapokea kipondo heavy baada ya kushindwa kulipia huduma ya dada poa. WENYEWE WAJITETEA KUWA NI MAIGIZO, SIO UHALISIA. JAPO WAMESHINDWA KUSEMA NI MAIGIZO YA KIKUNDI GANI NA MAUDHUI YAKE NI NINI ......
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mkristo kushindwa ni kumdhalilisha Yesu

    Usipende mambo ya kushindwa. Biblia inasema " Kila alitendalo litafanikiwa. "Zaburi 1:3 " Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Wafilipi 4:13 Hivyo kama ni mkristo unayejitambua hupaswi kukubali kushindwa jambo lolote ambalo umeanza na Mungu. Badala ya kutafsiri chochote kwako...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kushindwa hakuumizi sana, lakini kushindwa kunakotokana na usaliti inauma kuliko kitu chochote

    Kwema Wakuu! Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara. Lakini kushindwa kunakotokana na usaliti sio tuu inaumiza bali pia inaua nafsi na roho. Fikiria mtu uliyekuwa unamuamini na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  12. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu msukumo wa kushindwa ili kuwa huru zaidi! Tanzania bila Udikiteta, haiwezekani

    Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila kubadirishiwa oil na vifaa vilivyoharibika, na sasa gari limechoka, mwendo wake ni wa sjui tunakwenda...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi wa mwendokasi anastahili kubaki ofisini? Analalamika abiria kuongezeka badala ya kuona kama fursa. Watumishi wa umma duu

    Uongozi wa mwendokasi umekiri kwamba wameshindwa kuendesha miradi husika na hivyo wanasubiri hadi serikali inunue mfumo wa Artificial Intelligence wakuongoza magari. Hayo yamesemwa leo katika mahojiano baina ya waandishi wa habari na viongozi wa mradi husika. Baada ya viongozi hawa kusema...
  15. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

    Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi. Hii...
  16. Street brain

    JamiiForums Tanzania Ndoto za ubilionea zilianza akiwa na miaka 65 baada kushindwa kujiua

    Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20, Mke aliamua kuondoka na mtoto. Alishindwa hata katika jaribio la...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme ni kielelezo cha kushindwa kwa CCM

    Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi. Nashauri iondolewe Madarakani
  18. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Salam wadau Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado. Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili 1. Kufungua akaunti ya dola...
  19. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kula samaki na dagaa

    Habari zenu wanajamvi Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika. Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki...
  20. DigitalPointtz

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti. "Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
Back
Top Bottom