Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,886
109,218

Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT​

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google.

Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa Jumamosi.

Makamanda hao walizungumza na gazeti la New York Times kwa sharti la kutotajwa jina kwa sababu hawaruhusiwi kuzungumza hadharani kuhusu maoni yao binafsi.

Kwa ufupi, wameshindwa na sasa wanatupia lawama kwa wasiasankwa kushindwa kwao kwenye medani.

Pia wamesema kuwa kilamapigano yanapoendelea wanazidi kupoteza marafiki wa nje na wao peke yao wanashindwa kuulinda usalama wa Israel yote.

They told the NYT that a drawn-out battle intended to fully dismantle Hamas would most likely cost the lives of the Israeli hostages held in Gaza since October 7.

The strategic difficulties have been made even worse by the indecisiveness of Israel's political leadership, with Prime Minister Benjamin Netanyahu's comments regarding the post-war plan being cited as part of the difficulty.

They told the Times that without long-term post-war plans for Gaza, the army was unable to make short-term tactical decisions about how to capture the parts of Gaza that remained in Hamas's hands.

Three of the commanders said that Egypt was unwilling to involve itself with Israel's operation without postwar guarantees.

The commanders also expressed their belief that further deterioration in foreign relations due to the war would impact their ability to keep Israel safe and sufficiently supplied.

Chanzo: MSN

Licha ya New York Times kuletra habari hizo, Pia habari hizo zimerushwa na HIT:

View: https://youtu.be/IlqtNYSbPyg?si=2Q2rdAAqkYGsGm9y+

ALLAHU akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
 
Hivi kweli Gaza ilivyo ndogo Israel imeshindwa kuidhibiti Hamas, bado Hamas inamiliki eneo kubwa, kuna mambo yanashangaza sana.

Hao ndio wa kupambana na Iran?

skynews-israel-map_6315253.jpg
 
Vita vya Badr ni somo kubwa kwa vizazi na vizazi kuwa Ukimtegemea Mwenyezi Mungu unashinda!.
Kuna siri kubwa naiweka wazi hapa.Kuwa Gaza inasemekana inaongoza kwa kuwa na mahafidh wa Qur'an kati ya miji yote ya Mashariki ya kati.
Kama tunavyoona kila wakirusha kombora kwanza wanaomba dua ndio maana makombora hafifu yanaripua vifaru ghali sana.
Kama ulivyosema hapo ukimtegemea Mwenyezi Mungu katika kila jambo basi hata ukipata shida mwishowe hutofeli.
 
Hamas ilikuwa hujiungi kama siyo Hafidh Al Qur'an. Japo uwe na juzuu 10.
 
Tunasubiri kwa hamu siku historia itakapoandikwa kuhusu Gaza na kufichua siri nyingi zitakazotoa funzo kwa ulimwengu.
Baadhi ya dondoo ya historia hiyo ni kuwa Hamas iliingia vitani ikiwa imezingirwa kama gereza kwa miaka karibu 20 lakini pamoja na hivyo jeshi linalosifiwa kwa teknolojia kubwa duniani lilizibwa macho na Mwenyezi Mungu na pamoja na majaribio kadhaa kuziba mahandaki katika vita katika kipindi hicho hawakuweza kujua kuwa chini ya Gaza kulikuwa na mji mwengine na viwanda vya kutengeneza silaha.
Wale watu milioni 2.3 iliochwa ihangaike nao ni kama Israel imelaaniwa nao .Nataraji msemo huo wa Kiswahili utakuwa umeeleweka.
Israel imeua na itaendelea kuua na bado itabaki kupambana na askari wa kipalestina kwa jina lolote lile.Kila aliyepoteza mwanawe kwa kuuliwa na IDF basi wala hatomkataza mwanawe mwengine kulipiza kisasi kwa vile anavyoweza.
Kila aliyebebwa na mamaye kukimbia huku na huku atabaki na kumbukumbu za mateso hayo na akikua anapigana kuchukua nafasi ya waliouliwa mwaka huu.Lini Israel itaondokana na mzigo huo kabla ya wenyewe nao kuisha.
 
In shaa Allah huu uwe ni mwanzo wa mwisho wa nchi inayoitwa Israel.
 
Kuna siri kubwa naiweka wazi hapa.Kuwa Gaza inasemekana inaongoza kwa kuwa na mahafidh wa Qur'an kati ya miji yote ya Mashariki ya kati.
Kama tunavyoona kila wakirusha kombora kwanza wanaomba dua ndio maana makombora hafifu yanaripua vifaru ghali sana.
Kama ulivyosema hapo ukimtegemea Mwenyezi Mungu katika kila jambo basi hata ukipata shida mwishowe hutofeli.
Ila Allah alikuwa wapi mpaka Gaza imekuwa kifusi ?
 
Wewe bibi kiroboto inasemekana theluthi mbili ya wavaa vipedo na misuli wenzako huko Gaza wamepotezwa tayari. Wapo huko jongomeo kwa mabikira 72 kila mmoja 🤔
......
 
Back
Top Bottom