Daladala rasmi kurudi upya katikati ya Jiji la Dar-es-salaam mara baada ya mradi wa mwendokasi kushindwa kutoa huduma ipasavyo

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
1,932
4,086
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.

Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa jijini dar-es-salaam waendao katikati ya jiji kutokea Mbezi-Louis...hali iliyopelekea watu wengi kuchelewa kufika katika shughuli zao za ujenzi wa taifa kutokana n uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).

LATRA imeshatoa ruhusa kwa wamiliki wa mabasi kwenda kuomba leseni ya kubeba abiria kutokea mbezi-louis kuelekea mnazi mmoja ili kusaidia kupunguza adha ya usafiri jijini Dar-es-salaam iliyochangiwa na huduma mbovu za UDART.
1709206923650.jpg
 
Subiri sasa wenye eichers na TATA waanze kuingiza mabasi yao barabarani waone kama watu watakubali tena kukaa zaidi ya masaa 2 vituoni wakingonea usafiri wa mwendokasi
Walilijua hilo ndio maana wakazuia usafiri wa daladala.
 
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.

Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa jijini dar-es-salaam waendao katikati ya jiji kutokea Mbezi-Louis...hali iliyopelekea watu wengi kuchelewa kufika katika shughuli zao za ujenzi wa taifa kutokana n uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).

LATRA imeshatoa ruhusa kwa wamiliki wa mabasi kwenda kuomba leseni ya kubeba abiria kutokea mbezi-louis kuelekea mnazi mmoja ili kusaidia kupunguza adha ya usafiri jijini Dar-es-salaam iliyochangiwa na huduma mbovu za UDART.View attachment 2920148

Kuanzia DZA? Mawazo ya kimaskini kazini. Wasichojua: gari, matunzo.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.

Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa jijini dar-es-salaam waendao katikati ya jiji kutokea Mbezi-Louis...hali iliyopelekea watu wengi kuchelewa kufika katika shughuli zao za ujenzi wa taifa kutokana n uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).

LATRA imeshatoa ruhusa kwa wamiliki wa mabasi kwenda kuomba leseni ya kubeba abiria kutokea mbezi-louis kuelekea mnazi mmoja ili kusaidia kupunguza adha ya usafiri jijini Dar-es-salaam iliyochangiwa na huduma mbovu za UDART.View attachment 2920148
WATANZANIA NADHANI TUNACHOWEZA NI KUJISAFISHA BAADA YA KUMALIZA HAJA KUBWA.....SIDHANI KAMA TUNAWEZA CHOCHOTE, MRADI MZURI SANA UMESHAKUFA
 
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.

Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa jijini dar-es-salaam waendao katikati ya jiji kutokea Mbezi-Louis...hali iliyopelekea watu wengi kuchelewa kufika katika shughuli zao za ujenzi wa taifa kutokana n uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).

LATRA imeshatoa ruhusa kwa wamiliki wa mabasi kwenda kuomba leseni ya kubeba abiria kutokea mbezi-louis kuelekea mnazi mmoja ili kusaidia kupunguza adha ya usafiri jijini Dar-es-salaam iliyochangiwa na huduma mbovu za UDART.View attachment 2920148
Huu ni msiba mzito.

Wote tunapaswa kuomboleza wala siyo kuchekelea.

Kama taifa tunahitaji tafakari nzito. Kuna kitu hakiko sawa aidha kwenye Serikali, DART au akili za Watanzania wote walio na dhamana ya huu mradi wa mwendokasi
 
Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa jijini dar-es-salaam waendao katikati ya jiji kutokea Mbezi-Louis...hali iliyopelekea watu wengi kuchelewa kufika katika shughuli zao za ujenzi wa taifa kutokana n uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).
Aibu kwa wapuuzi pacha Makala na chizi mwenzake Chalamila, waliturudisha 30 years back kwa kuzuia mabasi ya mkoani kupunguza kero za wasafiri na kuinject vibajaji vyao vimejazana na vinasumbua barabarani wakati mabasi makubwa ndiyo solution yanachukua watu wengi kwa pamoja
 
Pamoja na kutokuwa na ushindani lakini chali.
Wangemkabidhi mtu binafsi wao wakusanye kodi tu.
Ule mradi ungekuwa unasimamiwa na mtu binafsi mwenye uzoefu kwenye biashara ya usafirishaji asingekubali ujinga wanaofanyaga.
 
Back
Top Bottom