Athari za mikopo ya kibenki kushindwa kuwanufaisha wakopaji

MD Khalid

New Member
Jan 29, 2024
1
0
Kumekuwa na utaratibu mbaya sana watu kuchukuwa mikopo mabenkI bila kuwa na utaratibu sahihi utakaowawezesha mikopo hiyo ijilipe wenyewe bila ya kuathiri vipato vyao ila wengi wamekuwa wakifanya maamuzi ya uchukuaji wa mikopo bila ya kupitia taasisi ya DEVELOPMENT SOLUTION GATE kuwapa miongozo sahihi na kujikuta wanashindwa kutengeneza faida kupitia mikopo na ilhali ni kitu kinachowezekana
 
Back
Top Bottom