kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zipo taarifa kwamba walioshirikiana na Naibu waziri wa Sheria kufanya ukatili wamekimbilia nchini Kenya kujificha kupoteza ushahidi

    Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya Naibu waziri. Lengo la watuhumiwa kutoroka nikukwepa kuhojiwa kwa madai kwamba kesi inayofuatiliwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda hatafika mbali na atakuwa sababu ya CCM kupoteza mvuto kanda ya ziwa na maeneo mengine

    Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson. Je watanzania mnajua kwanini nchi nyingi barani Africa ukabila ni tatizo kubwa? Na ni akina nani walianzisha ukabila huo na kwa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania George Weah hatarini kupoteza Urais, mpinzani amzidi kwa Kura chache

    Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya kura hizo yanayonesha Boakai ana 50.7% wakati Weah akiwa na 49.3% ya Kura zilizopigwa Awali...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yakiri kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 214.2 kutokana na Bei kubwa za Mafuta

    Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto. Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
  8. Black jew

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Coast vs Mashujaa refa alikuwa kiongozi wa kupoteza muda

    Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo. Kil ikitokea faul alikuwa anachukua muda mrefu kutoa maelezo mengi na kupoza mpira na kama kungekuwa na stop watch bas mpira...
  9. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kwenda umbali gani mrefu ama kupoteza muda kiasi gani ili kutuliza kiu ya sigara, pombe au uraibu mwengine?

    Achana kabisa na addiction ya sigara. Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini. Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara. Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

    Salaam! Msanii pekee wa kike kutoka wcb amekuwa akitoa mfululizo wa nyimbo ambazo kiutamaduni zinaathiri kizazi chetu cha baadae "honey wangu akinuna namkatia mabuno" imagine watoto wangapi wanaimba hii nyimbo? Ombi langu kwa Basata msifungie nyimbo zinazokashif mamlaka tu! Camera yenu imulike...
  12. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu kupoteza kumbukumbu

    Habarini wanajamii, Naomba nizungumzie kwa uchache sana niyajuayo kuhusiana na ugonjwa wa kusahau ama kupoteza kumbukumbu unaojulikana kitaalamu kama amnesia. Kusahau ni kushindwa kukumbuka au kuweza kutengeneza kumbukumbu mpya kabla/ baada ya hitilafu kutokea kwenye mfumo wako wa kuhifadhi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tetemeko laipiga Morocco, zaidi ya Watu 2000 wafariki Dunia, majeruhi waongezeka

    SEPT 10, 2023 Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani, hadi sasa Watu 2,012 wamefariki dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404 wako katika hali mbaya kiafya. Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya Watu 300,000 wameathirika na Tetemeko hilo lililopiga maeneo kadhaa ya Jiji...
  14. emmarki

    JamiiForums Tanzania Natatuaje tatizo la Tablet za Pritom kupoteza network?

    wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa. Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye supapawa Urusi yakiri kupoteza eneo la Robotyne

    Mpaka supapawa anakiri kupoteza na kufukuziwa nje nje ujue kweli hali mbaya.....ukizingatia anapambana na kainchi kadogo hapo kwake, wala hata sio vita vya mbali kama ilivyokua kwa Marekani na Vietnam, ni vita vya hapo hapo jirani kwake.................... Sept 6 (Reuters) - A Russian-appointed...
  16. bahati93

    JamiiForums Tanzania Endapo kipyenga cha mwisho kitapulizwa, taifa halina cha kupoteza

    Kwema hukoo mlipo Kusema kweli USA watu wamekula bata sana hata Sir God akipuliza kipenga wengi wao hawana cha kujutia. Embu tizama mastar wa Marekani walivyo wengi ukilinganisha na nchi nyingine, tazama maisha wanayo ishi yalivyojaa anasa. Ama kweli hakuna usawa kabisaa sijui sisi watu wa...
  17. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kupoteza maono ya macho

    Kupoteza maono ya macho (Acute Vision Loss) kwa kawaida hutokea ndani ya dakika chache hadi siku kadhaa. Inaweza kuathiri jicho moja au yote mawili au sehemu ya uga wa kuona. Sababu kubwa za kupatwa na dalili za kutoona vizuri ni mtengano mdogo wa safu ya seli za vipokea picha (retinal...
  18. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Uume kupoteza uthabiti wake wa kusimama

    Ni nadra sana mwanamume kushindwa kusimamisha uume, tatizo kubwa ni muda wa muendelezo wa kusimamisha uume. Hali hii huweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia (kujihisi mwenye hatia, hofu, huzuni, na wasiwasi, au majukumu yanayo mkabili). Mara nyingi, hali ya uume kupoteza uthabiti wake...
  19. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Kuna faida zozote za kumtumia Architect? Ama ni kupoteza pesa tu?

    Wakuu, Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? Ama ni wastage of money na hamna ulazima?
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KWELI Ugonjwa wa Kaswende husababisha matatizo ya Afya ya Akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu

    Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania. UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya Afya ya Akili kwa Wagonjwa.
Back
Top Bottom