George Weah hatarini kupoteza Urais, mpinzani amzidi kwa Kura chache

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,124
1700107320867.png

Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai

Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya kura hizo yanayonesha Boakai ana 50.7% wakati Weah akiwa na 49.3% ya Kura zilizopigwa

Awali Wagombea hao hawakuweza kufika 50% ya Kura ambapo Weah alikuwa na 43.83 na Boakai akiwa na 43.44

============

Initial results from the presidential run-off election in Liberia point to an extremely tight race.

With almost a quarter of the results in, opposition candidate Joseph Boakai is just ahead of President George Weah.

Mr Boakai so far has 50.7% of the vote, while Weah has 49.3%, the election commission has said.

In the first round, both men were also neck and neck, with the third-placed candidate securing just 2% of the votes.

BBC
 
Hivi weah alipata urais kwa vile alichexza mpira vema au? Nchi za kishenzi hizi hatari.
 
The point is that, people thought that his brilliance in football would be reflected in political governance and administrative governance!
Inawezekana pia mkuu ila inaonekana hakufanya vizuri muhura wa kwanza ndio maana chama cha upinzani kimekua na nguvu kwa kipindi kifupi sana niliona kampeni zao nikajua Weah atapata upinzani mkubwa sana..
 
Back
Top Bottom