OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 104
- 151
Kupoteza maono ya macho (Acute Vision Loss) kwa kawaida hutokea ndani ya dakika chache hadi siku kadhaa. Inaweza kuathiri jicho moja au yote mawili au sehemu ya uga wa kuona.
Sababu kubwa za kupatwa na dalili za kutoona vizuri ni mtengano mdogo wa safu ya seli za vipokea picha (retinal detachment).
Sababu zingine ni uharibifu unaoathiri mishipa ya macho au njia za kuona, kuharibika kwa miundo ya kawaida ya uwazi ambayo miale ya mwanga hupita hadi kufikia safu za vipokea picha (retina), kilinda jicho (cornea), na giligili ya jicho (vitreous).