kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Dunian hapa ukitaka kupoteza muda wako we jarbu kutafuta usawa katika mapenzi

    Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  4. S

    JamiiForums Tanzania BAWACHA mkoani Tanga wanathibitisha utekaji na uuaji hauwafanyi watu kuwa waoga, bali kuwa majasiri wasio na lolote la kupoteza

    Hawa watu kama wanafikiri kuteka na kuua watu ndio kutafanya watu wawe waoga, kwa hakika wanakosea sana, na aliewashauri aliwadanganya kwa kutokuja na kwa kutofanya research ndogo tu kujua kama vitendo hivi sehemu zingine duniani zimewahi kuwa msaada kwa watawala. Hapa napoandika, huko Tanga...
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  6. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Elimu inavyo wafanya watoto kupoteza uwezo wa kuuliza na kuhoji

    Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili... Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira. Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Hii inayoitwa Tume ya ajira PSRC ni uhuni na kupoteza wakati na fedha

    Habari Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi. Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja. Kinachowafanya wawashe AC, wavae tai wakae roundtable wakijifanya wanaakili nyingi ni kipi? Alama anazopata mtunakiwa chuo vipi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inachofanya TRA ni kuifilisi au kuiua Hospitali ya Massana, Watumishi wa Hospitali tunahisi kupoteza matumaini

    Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti za Benki za Hospitali hiyo kwakile wanachodaiwa kuwa ni madeni wanayoidai Hospitali. Kwasasa sisi...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Kamwe na haitatokea Tanzania kupoteza uelekeo

    Nimpongeze Rais Samia kwa kusimama imara katika nafasi hii ngumu, yenye majaribu na lawama zote. Ni ukweli usiopingika kuwa nafasi za uongozi ni kama ubao wa kupokea lawama na mazuri yote huandikwa na kufutwa. Nipende kumpa moyo Rais na viongozi wote wa chini yake katika kukabiliana na lawama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tumerudishwa tena kwenye habari mbaya Duniani; Naamini waliopanga hizi kamata kamata wanakwenda kupoteza kibarua

    Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarime: CCM yapewa angalizo kupoteza Jimbo la Tarime DC 2025 ikimsimamisha Waitara

    Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025 Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Itifaki ndefu kwenye sherehe na mikutano ya kawaida au uzinduzi ni kupoteza muda?

    Mojawapo ya mambo yanayozisaidia jamii kupiga hatua ya maendeleo ni pamoja na kujali muda.Naangalia tamasha la bulabo lililopo live TBC.Kila kiongozi anayepanda kuanza kuzungumza,anataja itifaki ya viongozi waliopo.Muda unapotea sana kabla hata mgeni rasmi hajaanza kuzungumza.Sisi kama...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jinsi Radio Free Afrika ilivyoyumba na kupoteza ubora kutokana na Mmiliki wake kuitumia Kisiasa

    Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini. Lakini Radio Free Afrika...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  16. covid 19

    JamiiForums Tanzania Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae. Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  18. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

    Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana, Usikutane na mtu asiekuwa na cha kupoteza

    kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza, mtumishi wa serikali ya Tanzania ambae amefanya kazi muda mrefu na hana maendeleo.. Mwanamke anaeishi...
  20. Noel france

    JamiiForums Tanzania Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Ndugu zangu, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya watu wasio julikana ama wale wanaokuja kwa njia ya askari polisi. Wanakuchukua kisha wanakuua alafu hakuna jitihada zozote kutoka kwa vyombo vyetu vya usalama. Hii inatosha ama mnataka nani atekwe kisha ndiyo tuje kuona kazi nzuri ya serikali...
Back
Top Bottom