Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.
Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo halafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia...
Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu.
Cyril
IKUNGI-SINGIDA,
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo lake atakula kichwa chake na kumpoteza mchana kweupe, ameongeza kua tumezoea kazi hiyo inafanywa na...
Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi.
Vifaa.
1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles
2.Gloves
3.Mask
4.Viatu vya kufinika miguu.
5.Brash ngumu kubwa na
ndogo.
NAMNA YA KUSAFISHA
Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
Hello Ladies & gentlemen, hope all is well with you.
Bila kupoteza muda naombeni kujua ni kwa nini mtu hupoteza upendo na hisia kwa haraka sana mara tu baada ya kufanya mapenzi.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana kwamba huwa napenda sana kwa muda mfupi na kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.