kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami. Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 90% wa Bandarini sasa kupoteza ajira?

    Salaam Wakuu Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia. Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa...
  3. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wallace Karia Rais wa TFF asema si vyema Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  6. Ironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vibes na mitoko ya Usiku.

    Hi wanajukwaa Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo. Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Walipopoteza unyenyekevu na Taifa likaanza kupoteza maadili na ubinafsi ukaanza kuota mizizi

    Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi. Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner akiri kupoteza wapiganaji 22,000 Bakhmut pekee yake

    Hata kwenye vita vya Afghanista, Urusi haikupoteza wanajeshi ewengi kiasi hiki.... The head of the Russian private army Wagner says his force lost more than 20,000 fighters in the drawn-out battle for Bakhmut, with about 20% of the 50,000 Russian convicts he recruited to fight in the 15-month...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapinzani Tanzania kumzodoa Raila ni kupoteza Dira na Mwelekeo

    Raila Odinga ni mpigania haki nguli wa wakati wetu. Amaarufu GOAT, kama alivyotambuliwa Messi Qatar, 2023. Maneno ya Odinga kwa wafuasi wake ni sheria. Leo wako mapumziko, kujipanga na kuja na nguvu mpya na kasi mpya. Tukutane kesho Tahrir. Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
  12. ankol

    JamiiForums Tanzania Smart Key kupoteza mawasiliano

    Habarini wadau, Nimepatwa na changamoto ya gari kutowaka, yaani ukibonyeza push start button haikubali as if mawasiliano kati ya funguo na button hayapo. Tatizo lilianza kidogokidogo kuna wakati mpaka urudie rudie ndio ikubali, ila sasa hivi haikubali tena. Yaani ukiweka switch on itadisplay...
  13. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

    Naseeb Abdul Jumah.... a.k.a Diamond Platnumz ni icon Tanzania kipengere cha Muzik, Ni kijana ambaye anatakiwa angaliwe na serikali kwa upana maana hata serikali yenyew imeblooh anajiongeze sio utani. Mbali na kumiliki anavyovimiliki chibu dangote yuko na team sahihi kabisa isikuwa na mchezo...
  14. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

    Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne. Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mlevi wa kupindukia akisitisha ghalfa unywaji wa Pombe anaweza kupoteza Maisha

    Mdau mmoja wa JamiiForums ameelezea kuwa watu wanaokunywa pombe kupita kiasi (Ulevi uliopindukia) wakiacha ghafla matumizi ya pombe wanaweza kufa. Mdau huyu anaeleza kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili kama yalivyo madawa mengine ya kulevya, pia huleta uraibu na utegemezi. Amewashauri...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kanye West kuipa hasara Adidas, hatarini kupoteza Pauni milioni 450

    Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450. Adidas inatarajiwa kupata hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kutokana na kutouza mzigo wa bidhaa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serikali itafute njia mbadala kushughulika na wahalifu wa 'Tuma kwenye namba hii', kwenda kuripoti polisi ni kupoteza muda

    Waziri Nape alitoa maelekezo watu kutoa taarifa polisi endapo watapokea jumbe za matapeli wanaokwambia tuma kwenye namba hii ama jumbe za waganga na kushinda jackpot ambapo kupata zawadi hiyo unaambiwa upige simu kwa maelekezo zaidi. Badala ya watu kwenda kutoa taarifa polisi, kuwe na njia ya...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ugonjwa wa kupoteza ufahamu au kusahau (Dementia)

    Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) ni nini? Neno ‘Dementia’ (ugonjwa wa kupoteza ufahamu) linaelezea dalili mbalimbali kama vile upotezaji wa kumbukumbu, matatizo ya kufikiria au kuongea, na mabadiliko katika hisia na tabia. Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) husababishwa na magonjwa ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa CHADEMA kuendelea kuwekeza kwa Tundu Lissu ni kupoteza muda

    Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi! Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa

    Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa
Back
Top Bottom