Uume kupoteza uthabiti wake wa kusimama

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Ni nadra sana mwanamume kushindwa kusimamisha uume, tatizo kubwa ni muda wa muendelezo wa kusimamisha uume. Hali hii huweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia (kujihisi mwenye hatia, hofu, huzuni, na wasiwasi, au majukumu yanayo mkabili).

Mara nyingi, hali ya uume kupoteza uthabiti wake wa kusimama husababishwa na ugonjwa, hupelekea mwanaume kutoweza kusimamisha tena hapo baadae.

Hata hivyo Sababu za kisaikolojia lazima zizingatiwe katika kila kesi.

Snapinsta.app_286607245_535121318154176_7388520157717227391_n_1080.jpg
 
Back
Top Bottom