Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,705
- 36,154
Hello Rais Samia!
Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania.
Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu.
Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania tutauthamini utu wako milele.
Wahandisi wako na mawaziri wako sababu za kusuasua kwa umeme wamezisema kuwa ni 3 ingawa kila sababu Ina msimu wake
•Leo watasema ni kupungua kwa maji katika mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Kesho wanageuka na kusema maji yamevuka Kingo za mabwawa ya uzalishaji umeme.
•Mwishowe wanasema ni maintenance ya miundombinu ya umeme ambayo ni chakavu.
Swali : Hiyo maintenance ilisubiri ifanyike kipindi chako?
Kwanini usiseme kama kuna maintenance sawa lakini nataka ifanyike kipindi kingine, si cha utawala wangu?
Nakuomba Rais Samia ung'atuke.
Uking'atuka Mimi sitainyemelea nafasi yako na sina ndugu au rafiki mwenye hadhi ya Urais kwasasa.