kulipwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

    Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kudai barua ya ajira kabla ya kulipwa mafao

    Kutokana na maendeleo ya Technologia, ambapo zipo njia za kuaminika zaidi za kumtambua mtu; napendekeza Sheria ya Kudai mzee aliyekuwa mfanyakazi pengine kwa miaka 30 alete barua aliyopewa wakati anapata ajira kwa mara ya kwanza ili aweze kulipwa mafao yake iondolewe. Nafikiri wanaweza kuweka...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wacheleweshwa kulipwa fidia

    Baadhi ya wakazi wa Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuwalipa fidia yao ambayo imetokana na kupisha mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Mpanda. Wamesema kila wanapouliza kuhusu kulipwa fidia yao wanapewa majibu yasiyowafurahisha ambapo...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Raheem Sterling akataa ofa ya kwenda Saudi kulipwa mara tatu ya mshahara wake wa sasa

    Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem inadaiwa amekataa ofa ya kwenda kucheza Soka Nchini Saudi Arabia ambapo aliahidiwa kulipwa takribani mara tatu ya kiasi anacholipwa kwa sasa. Ikiwa angekubali ofa hiyo angeweza kuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi katika Ligi ya 'Saudi Pro...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wadai kulipwa ili waandamane, wamesema Wanasiasa wote wanawatumia

    Mwenyekiti wa bodaboda wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, amesema kwamba baadhi ya vijana wake wa bodaboda walifuatwa na kuahidiwa kupewa mafuta na posho ili washiriki kwenye maandamano lakini kwa mujibu wake yeye alikataa kushiriki. ANGALIA VIDEO HAPA Source - EastAfricaTv
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023. Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
  7. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Malipo/michango isio takiwa kulipwa lakin watz tunalipa bila kuhoji kwa sababu ya woga

    1-pesa ya taka Kwa dar hii pesa ya taka inakusanywa kiholela Ina tagemea na eneo kuna wanalipa 2000---mpaka 7000 pesa za wavuja jasho zipigwa n'a kikund Cha Watu wachache hakuna anaehoji  2-pesa za ulinzi shirikishi . pesa zinakusanywa kiholela na watuu wanalipa tu . Kodi tunalipa halafu Kuna...
  8. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wafanyakazi mgodi wa CATA Mining Mara, waanza mgomo kushinikiza kulipwa mishahara, michango NSSF

    Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi wa Mgodi kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma akipata uhamisho wa muda anastahili kulipwa nini!?

    Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
  10. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania TFF wamjibu dogo aliyelalamika kulipwa 20,000

    Nimeamka tu nimekutana na hii kutoka mwananchi. Huyu ni dogo national team chini ya miaka 15, mashindano yamefanyika Uganda yameisha hivi karibuni. TFF wanadai wapo katika mchakato wa hundi. Vipi kuhusu mwaka jana kulipwa 50,000. Hii imenikumbusha ndugu yangu alichaguliwa national team beach...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa changamoto kwa ajira mpya kulipwa pesa za kujikimu katika Halmashauri nyingi

    Habari za muda ndugu zangu. Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanaopisha Ujenzi Bonde la Msimbazi Waanza Kulipwa Leo

    Serikali imesema Wananchi 2,400 wanaopisha uendelezaji Bonde la Msimbazi tayari wameanza kulipwa fidia zao leo, hatua hii inakuja baada ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kuongea na Wananchi wanaoathiriwa na uendelezaji wa Bonde hilo kwenye eneo la Jangwani jijini Dar es salaaam na...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waliochukuliwa maeneo kulipwa Tsh. Bilioni 4.5 Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuanzia wiki ijayo Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaanza kulipa fidia wananchi ambao maeneo yao yalitwaliwa na tayari Sh bilioni 4.5 zimetolewa na serikali kwa ajili hiyo. Akizungumza kuhusu kliniki ya ardhi iliyoandaliwa na...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jenerali Brice Nguema akataa kulipwa Mshahara wa Urais, apunguza Posho za Wabunge

    Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo. Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
  17. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara ni matumizi mabaya sana ya akili kwa Ma HR wengi nchini.

    Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili. Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?. Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    Kwema Wakuu! Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi. Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
  20. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mikataba yote iliyovunjwa na kuingiwa makubaliano mapya na JPM, wawekezaji wataendelea kulipwa kwa sababu ni wakati wa ulaji kwa wanasheria wa serikal

    Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya! Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
Back
Top Bottom