kulipwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

    Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa. Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na...
  2. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wa PSSSF mnaotarajia kustaafu mjipange msitegemee kulipwa haraka mafao na pensheni

    Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi akubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili, kulipwa £ milioni 25 kwa mwaka

    Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka. --- ✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iramba: DC Suleiman Mwenda aagiza walimu wanaodai fedha za uhamisho na madai mbalimbali kulipwa stahiki zao

    DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO. Na Mwandishi wetu: Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu msingi na sekondari kuwalipa walimu wanaodai stahiki zao mbalimbali. DC Mwenda ameyasema hayo wakati...
Back
Top Bottom