kulipwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa chuo wanaokwenda TANESCO kufanya field huwa wanalipwa?

    Hey
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

    Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanaodai Pride Tanzania kulipwa Julai 2023

    WANAODAI KAMPUNI YA PRIDE TANZANIA KULIPWA JULAI 2023 Serikali itaanza kuwalipa Watanzania wanaoidai Kampuni ya Pride Tanzania Julai mwaka huu baada ya taratibu za ufilisi kukamilika. Pride ilianzishwa Mei 5, 1993 chini ya Sheria ya Kampuni (CAP 212) kwa lengo la kutoa mikopo midogomidogo kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TASAF yasema dirisha la malipo kwa wanufaika limefunguliwa kuanzia Jumatatu Juni 5, 2023

    Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua. Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kihasibu; Simba watapata bilioni 1 za CAF, Ni yanga pekee ndie ana nafasi ya kulipwa bilioni 2 au zaidi

    Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi. Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k. Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Kata Kulipwa Posho

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu watendaji wa Kata wanaolipwa na wasiolipwa posho ambapo swali lilijibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Deo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Bernard Membe: Ufafanuzi kuhusu Madai na Malipo ya Mdaiwa aliyefariki

    Anaandika Ibrahim Mkamba Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa kwa sababu madai yalikuwa yanahusu mdai kukashfiwa na huyo mkashfiwa ameshafariki. Najibu hapa ili...
  9. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako unapata Faida gani Wastaafu kulipwa Kikokotoo?

    Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sauti Sol watishia kujitoa Shirikisho la Hakimiliki baada ya kulipwa Tsh. 242,977 za Mirabaha

    Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za sanaa Sauti Sol wamehoji "Kwa nini MCSK huwa wanafanya kana kwamba wanawafanyia hisani Wanamuziki wa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adai madeni ya Awamu ya Kenyatta ni chanzo cha mishahara kuchelewa kulipwa

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
  12. polokwane

    JamiiForums Tanzania TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Familia aliyegongwa na mwendokasi yahaha kumtibia akisubiri kulipwa

    Unalikumbuka tukio la basi la mwendokasi lililoacha njia na kugonga ukuta wa jengo lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam huku likimkosa mwenda kwa miguu aliyekuwa akikatisha mtaani hapo? Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema anastahili kulipwa fidia. Wakati Tira ikisema hivyo...
  14. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Saka kulipwa Sh123 milioni kwa siku Arsenal

    Mkataba huo mpya utakuwa na maboresho makubwa kwenye mshahara wa staa huyo, kutoka kiwango anacholipwa kwa sasa cha Pauni 70,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Mikel Arteta, Pauni 300,000 kwa wiki sawa na pesa ya Kitanzania Sh858...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maafisa Kikosi cha Zimamoto na Polisi kumlipa Vanessa Bryant fidia ya USD Milioni 28.8 kwa kusambaza picha za Ajali ya Mumewe

    Vanessa Bryant atalipwa na Maafisa wa Polisi na Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles zaidi ya Bilioni 65 za Kitanzania kwa kusambaza Mtandaoni picha za Ajali Mbaya ya Helkopita iliyoua Mumewe na Binti yake Januari 26, 2020 Kwa kuzingatia Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Msanii anatakiwa kulipwa na Media au yeye ndo alipe

    📌Tuanze na Media za bongo| Media zipo kwa ajili ya kuhabarisha na kuburudisha( maana ake kutoa huduma kwa jamii kutobagua habari ya kufikisha kwa jamii , tukija kwenye burudani hapa Media za bongo kwasasa wimbo wako hausikik kwa Media bila pay au wimbo wako kupata air time bila kutoa pay . Afu...
  17. Broussard

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kila manusura wa Precision kulipwa Sh. milioni 70

    Ndege ya Precision ikiwa imezama majini ndani ya Ziwa Viktoria MANUSURA 19 katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, mwaka jana – nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba -- wataambulia malipo ya fidia ya Sh. milioni 70.2, Pambazuko linaweza kueleza. Taarifa za awali ambazo...
  19. matheiavelini

    JamiiForums Tanzania Niunganishe na kazi ya mauzo ya kulipwa kwa commission

    Habari! Naitwa Mathei, umri ni miaka 26 ni graduate wa Education &information and Communication technology ( ICT)katika level ya degree. Biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwanandoa akichepuka, mali au pesa atakayohongwa au kulipwa, anatakiwa kugawana na mke/mumewe nusu kwa nusu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati inatafsiri Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kuhusu umiliki wa mali baina ya wanandoa, katika kesi ya Rufaa namba 287 ya mwaka 2021 kati ya Bahati Kazuzu na Ruth Bura mbele ya Jaji Mugeta, imeeleza kwamba: Mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja ataipata, iwe kwa kuhongwa...
Back
Top Bottom