kulipwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Boda aliyegongwa na Mwendokasi kulipwa Milion 88 kama fidia

    Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi la mwendokasi, ambapo pia imebainika kuwa Dereva Hafidhi Ally alikuwa akiendesha basi hilo kwa mwendo hatarishi ambaye pia...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  4. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

    Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kulipwa hela yangu yote NSSF?

    Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5 Mwaka huu mwezi wa 6 mkataba umeisha na nikaamua kufungua madai nssf na kukamilisha mchakato wote na kutia...
  6. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

    Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Ningependa Kulipwa kwa Bitcoin… Je, TRA Watanifunga?

    Kama freelancer au mtu unayefanya kazi za mtandaoni, kuna siku inawezekana ushawahi pokea message au utapokea email au message ikisema, "I’d love to pay you in Bitcoin. Are you okay with that?" Na hapa ndipo swali linapojitokeza kwa wengi wetu hapa Tanzania: Kama nikilipwa kwa Bitcoin, JE! TRA...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kulipwa Mafao Ndani ya Siku Saba (7)

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema kutokana na maendeleo ya mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), sasa hivi mstaafu anaweza kulipwa mafao yake ndani ya siku saba, licha ya sheria mpya ya Mafao kutaka...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa Vita ya Kagera Wanaendelea Kulipwa Pensheni

    MASHUJAA VITA YA KAGERA WANAENDELEA KULIPWA PENSHENI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema mashujaa wote waliopigana Vita ya Kagera na waliostahili malipo ya viinua mgongo na pensheni walikwishalipwa na wengine wanaendelea kulipwa kwa mujibu wa Sheria ya...
  18. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kulipwa na Timebucks

    Bila shaka ni wazima wa afya.Katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii ishu ya kufanya research online pia kufanya kazi ndogondogo kwenye website ya timebucks.Nilijiunga na kuanza kufanya vikazi vyao. Ikumbukwe ili uweze kulipwa ni lazima ufikishe 10 USD.Nilifikisha hizo dola kumi na...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Findia Kipunguni hapa banana waanza kulipwa

    Jana zoezi limezinduliwa Leo 27/2/2025 wamesema wanalipa watu 200
  20. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wasio na ajira (NETO) wasema Walimu wenye degree kulipwa 150,000 siyo haki

    Umoja wa Walimu wasio na ajira nchini Tanzania (NETO), umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali, kuwasaidia Walimu hao kupata ajira na kuweka usimamizi madhubuti pamoja na kufuta mfumo wa usaili katika mchakato wa kutoa ajira. Uongozi wa Umoja huo...
Back
Top Bottom