Raheem Sterling akataa ofa ya kwenda Saudi kulipwa mara tatu ya mshahara wake wa sasa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem inadaiwa amekataa ofa ya kwenda kucheza Soka Nchini Saudi Arabia ambapo aliahidiwa kulipwa takribani mara tatu ya kiasi anacholipwa kwa sasa.

Ikiwa angekubali ofa hiyo angeweza kuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi katika Ligi ya 'Saudi Pro League'.

Sterling (29) inadaiwa analipwa Pauni 300,000 (Tsh. Milioni 958) kwa wiki.

#####

Raheem Sterling snubbed ‘eye-watering’ Saudi transfer offer that would have TREBLED Chelsea star’s £300k-a-week salary

RAHEEM STERLING reportedly snubbed an eye-watering transfer offer from Saudi Arabia last summer.

The Chelsea winger could have become one of the three highest-paid players in the Saudi Pro League.

However, he instead opted to remain at Stamford Bridge for another season.

According to the Telegraph, Sterling received an offer from the Middle East that would have trebled his Chelsea wages.

The 29-year-old reportedly earns £300,000-per-week at the West London club.

He would have become one of the highest earners in the league behind Cristiano Ronaldo, the report adds.

Source: The Sun
 
Una miaka 29 unakataa offer ya Waarabu yenye mpunga mrefu kiasi hicho.
 
Waarabu nao machizi, sterling huyu huyu mpuuzi mpuuzi.. 😂

Ila maisha haya, mguu wake analipwa milioni 900 kwa wiki, sisi miguu yetu tunapigia kiki za bodaboda. 🤔
Aahh, duniani tunapita 😂
 
Back
Top Bottom