TFF wamjibu dogo aliyelalamika kulipwa 20,000

kocha Nabi

JF-Expert Member
Feb 1, 2022
590
1,467
mwananchi_official_1702704513290912.jpg


Nimeamka tu nimekutana na hii kutoka mwananchi. Huyu ni dogo national team chini ya miaka 15, mashindano yamefanyika Uganda yameisha hivi karibuni. TFF wanadai wapo katika mchakato wa hundi. Vipi kuhusu mwaka jana kulipwa 50,000.

Hii imenikumbusha ndugu yangu alichaguliwa national team beach soccer. Kambi TFF Karume aliishia kula tu na kupanda basi la TFF. Yaliyobaki tumwachie Mungu
 
Back
Top Bottom