bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,371
- 24,589
Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili.
Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?.
Unakuta mtumishi kapata kesi ya upotevu wa hela hata nusu na robo ya mshahara wake haifiki zipo kesi upotevu wa dollar 50, wengine elf 20 mtu anasimamishwa kazi eti kupisha uchunguzi,kwann msifanye uchunguzi huku akiendelea na kazi ili autumikie mshahara wa bure anaopewa Kila mwezi,Pana watu wanasimamishwa kazi hata miaka minane kwa tuhuma tu za kipumbavu sijui akuomba ruhusa, sijui upotevu wa sh laki moja,sijui tuhuma ya kupokea rushwa ya sh elf tano, Pana mtu alikaa ndani kisa upotevu wa elf 10 akapewa kesi ya uhujumu uchumi,vikesi vingi vya ajabu ajabu tu,kesi zingine ni chuki tu za mabosi ofisin labda wanagombea mrembo nk.
Ambapo angewndelea na kazi au alipe hio amount kiduchu anayotuhumiwa nayo.
Mtu ana mshahara wa milion 2 unampa kesi ya upotevu wa dollar 50 unamsimamisha kazi miaka sita au nane hii ni akili au ni matope.
Matokeo yake Sasa watu wakisimamishwa kazi Wala hawasumbuki wanaenda private company wanaajirwa kisiri Yao so wanavuta mshahara wa Serikali na wa private company wanafanya maendeleo, wengine wanakaa kimya kabisa huku wakizidi kuomba mafaili Yaendelee kukaa kimya wanakua bize kusimamia biashara zao.
Wengine utumia mda huo kwenda shule.
Wakati huo huo wanalalamika upungufu wa staff wakati wanasimamisha watu pasipo sababu za msingi ukipima kosa na hasara ya kumsimamisha mtu kazi ale mshahara asioutumikia haviendani kabisa.
Wanakusimamisha kazi ili wakukomoe uchakae kabisa wakiona upo bize na project zako au umeajiriwa kwingine huku ukipokea bure mshahara wao na una maendeleo wanaanza kuona wivu Tena.
Wivu wa nini Sasa wakat nyie ndio mmempa mda wa kupumzika.
Halafu vikesi vyenyewe vya kijinga baada ya uchunguzi miaka hio sita au nane wanakurudisha kazini uendelee na kazi kwa sababu wamekosa ushahidi na unapewa haki zako zote ulizokaa nje ya kazi.
Inatakiwa HR yeyeto akimsimamisha mtu kazi awajibishwe kwa kufacilitate Serikali kuibiwa na akatwe mafao yake kufidia hasara hio ya serikali kumlipa mshahara mtu asiyekuwa kazini.
Mamlaka ilione hili watumishi wengi wanasomeka kwenye malipo hazina lakini usikute wengi hawapo makazini wanakula mshahara bure kwa upumbavu wa Watu wa utumishi kwa sheria zao za kusimamisha watumishi kazi bila kupima uzito