kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

    Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato. Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu PREP na PEP

    Kumekuwa na hizi dawa za kupunguza wezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV, ambazo ni PREP na PEP, je zinafanya kazi kwa asilimia ngapi? Na mbona kwenye vituo vya afya wanatoa hizi PEP lakni ni dawa hizo hizo za ARVS, je ni sahihi kwa kufanya hivyo? Na je, kama umekutana na mtu mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imeanza kujihami mapema kuhusu vifaru vyake vya ABRAHAMS inavyopeleka Ukraine!! Inahofu vitaunguzwa na kutekwa na URUSI!

    Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani inasema kuwa itavyofoa sehemu muhimu kwenye vifaru hivyo ikiogopa teknologia yake kuangukia mikononi...
  5. Shark

    JamiiForums Tanzania Ufanyike mdahalo (Debate) kumaliza utata kuhusu Bandari

    Kwema Wakuu? Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa. Kila mmoja anazungumzia issue za bandari kwa muktadha wake. Wapo wanaoihusisha Bandari na dini, utanganyika v/s uzanzibar, kuibiwa...
  6. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania, hususan Waziri wa Fedha kuhusu misamaha ya kodi

    Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe: 1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi. 2) Taasisi za kidini...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukiendelea kujibizana na hawa wapumbavu kuhusu uwekezaji wa Bandari utapoteza mwelekeo na utapoteza muda

    Mama yangu Rais Samia kwanini mkataba moja huu wa bandari utumie nishati kubwa namna hii. Huu ni mkataba moja tu je utaweza kufanya chochote km kiongozi mkuu wa nchi? Nachoogopa kwa kuwa uelewa wa watu bado ni mdogo ndio mtawachanganya zaidi. Bunge limeshapitisha, na bunge ni wawakilishi wa...
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Acha kulaumu kuhusu marafiki feki

    Hello wanajf, Siku hizi kumekuwa na ongezeko la chuki Kati ya ndugu na marafiki baada ya mmoja wapo kuona Kama anakosa msaada kwa wengine anaishia kulalama na kuona Kila mtu mbaya. Ukifahamu hakuna mtu aliyezaliwa kwa ajili ya matatizo yako utagundua kuwa hakuna mtu mbaya au mwenye roho mbaya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mahafali ya 11 ya Chuo cha ulinzi wa Taifa- NDC, Kuna Jambo sijalielwa. Si cha kijeshi tu?

    Nafuatlia Mahafali ya kumi na moja ya Chuo Cha Cha ulinzi wa Taifa-NDC kupitia TBC. Mimi nimekuwa nikivutiwa na mambo ya Jeshi mfano gwaride na tifaki mbalimbali za Kijeshi. Sasa leo nachukua Rimoti nashusha kila channel nakuta mambo niyapendayo. Nakuta Mahafali ya Chuo chetu Cha ulinzi wa...
  12. JIMMY JORAM

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mawasiliano ya Bodi ya Mkopo (HESLB)

    Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

    Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua! Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege! Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  17. O

    JamiiForums Tanzania Nafanya maombi ya Award Verification Number

    Habari Naitwa MR AVN MASTER. Nimerudi tena. Nafanya Maombi ya AVN Number NACTE, kama umekwama popote ni inbox/ nitext kwa namba hizi 0622569980 tusaidiane. Usipoteze muda kwa kupigwa pending au Account Block. Nothing is impossible, nitext tusaidiane.
  18. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni kuhusu hii App ya Boxreta

    Habari zenu wakuu Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine. Swali langu kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
Back
Top Bottom