Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender.
Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified Hadi DP WORLD kupita...
Leo 14/7/2023 katika mkutano wa Wahariri na Viongozi wa wizara mbali na kuambiwa mikataba itakayo fuata ya kibiashara itakuwa ni SIRI iki maanisha kuna uwezekano tusije jua Ukomo wala Mapato baada ya hii IGA ,shida kubwa nliyoiona ni hii 35% hisa wazawa .
Ni kwamba katika mikataba ya kibiashara...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari.
Mbarawa:
Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana.
Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili...
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World.
===
Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
Salaam wadau.
Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni tu ya mkumbo? Mfano simu za Tecno,Itel na Infinix ni mbovu na kiwango chake ni cha chini sababu ya...
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!
Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za...
Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni:
1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia...
Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023
Tanga mnatumika
Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
Kwa muda mrefu sasa nchi za magharibi zimekuwa na sauti kubwa kwenye sera na mipango ya maendeleo ya
uchumi duniani, kiasi kwamba imekuwa ni kawaida kuamini kuwa sera na nadharia za uchumi za nchi za magharibi ni sahihi. Inapotea kuwa nchi zinazofuata nadharia hizo zinaendelea kuwa nyuma...
Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.
Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele...
Wanachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya akivymiliki kwa kweli; wanawatukana watanzania adharani bila woga wakiamini wanatetea serikali.
Msemaji wa serikali kutamka kwamba Serikali imeshindwa kuwasimamia watumishi wa bandari ni kumdharau aliyemteua. Kutamka adharani kwamba bandarini kuna wezi na...
Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea kwenye himaya ya Ukraine!! Kwa kuwa hili halitatokea milele, kwa hiyo Ukraine haitajiunga na NATO...
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi...
Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake.
Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
Hili halisemwi sana ila ndo ukweli wenyewe!
Moja ya sababu zilizofanya Mwl. Nyerere aamue kung' atuka mwaka 1985 ni kutokana na kufeli kwa Sera zake za kiuchumi hasa za kijamaa. Ilifika kipindi watanzania walianza kuvaa nguo zenye viraka na hata ununuzi wa bidhaa madukani ulifanyika kwa...
Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu.
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.