Habari zenu wakuu
Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine.
Swali langu kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuwahakikishia wananchi upatikanaji wa uhakika wa mafuta nchini baada ya kutembelea maghala ya kuhifadhia mafuta jijini Dar es Salaam, 23 Julai 2023.
Ziara hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, na kujumuisha...
Wasalaam nyote,
Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya.
Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa?
Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30
-Kaveli-
Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo:
1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
Hello wanaJF,
Nimepata thread ama post nyingi Sana zikihofia kuhusu uwepo wa Mungu. Unapozidi kujifunza na kufahamu zaidi sayansi tunategemea uwe shuhuda mkubwa kuhusu uwepo wa Mungu lakini unexpectedly ndio unaanza kusema sayansi haiamini Mungu yupo.
Ona hizi facts za kisayansi
👉...
Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi?
Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
Lengo kubwa la Application ya Linkedin ni kuwakutanisha wataalamu na wabobezi kwenye sekta mbalimbali, na kutengeneza njia zaidi kwenye uzalishaji na kukua kwa vile ambavyo wanavifanya.
Ndani ya Linkedin kuna kampuni zaidi ya Milioni 57 ambazo huonesha bidhaa, huduma na fursa za kazi duniani...
What SUV would you advise me to buy between VW TIGUAN, BMW X3, AUDI Q3 and TOYOTA RAV4, please I'd appreciate reasoning for every choice starting with price, engine size, fuel type etc, or if possible provide comparison of the 4 please? "Majibu hata kww kiswahili tafadhari"
"Nataka tuwekane sawa maana tayari watu wameanza kupotosha na kazi ya Serikali ni kuelimisha wananchi, mjadala wa bandari umekuwa ni mkubwa sana kuliko Mijadala mingine yote na hii ni kwasababu kwa mara ya kwanza watanzania wameshuhudia mkataba mkubwa kama wa bandari ukipelekwa Bungeni" - Mhe...
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu:
Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi tunatakiwa kulipa Tsh. 65,000/= kama pesa ya uendeshaji ili hali fomu ya kujiunga inamtaka kwenda na...
Tuchapeni kazi, serekali yetu sikivu imesikia inafanyia kazi kwa umakini mkubwa maoni yote. Tufunge sasa mjadala huu imetosha, tunachelewa sana kwa mijadala isiyokwisha na ambayo pengine inaweza kuhatarisha Utaifa na umoja wetu watanzania kwani hata maadui wa Taifa wanaweza kupitia mlango huu...
Habari wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu.
Binafsi ninahuzunishwa sana na baadhi ya sajili kwenye Klabu yangu pendwa ya Simba.
1. Usajili wa mawinga kumi na moja.
Saido...
Wazo hili nimelipata baada ya kupata maoni tofauti tofauti kutoka kwa baadhi ya vijana wa kitanzania tena wasomi kuhusu mchango wao katika siasa na hali halisi iliyoko kwa sasa.
Inasikitisha kuona kwamba hata wenye elimu na mwanga hawana muda wala uelewa wowote, wenye chachu na hamasa ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Mimi binafsi napenda sana uwekezaji na hasa uwekezaji uliofuata utaratibu wa kisheria. Naomba kuuliza maswali yafuatayo kuhusu mkataba wa DP World;
(1) Kama tuna sheria ya manunuzi inayotuongoza nchi nzima ni kwa nini mkataba huu haukutangazwa na kuwepo na ushindani?
(2) Jana Mhe. Waziri...
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.