kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uti wa mgongo

    Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
  3. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya basic truck driving veta na kozi ya heavy goods vehicle N.I.T

    Habari zenu wakubwa! Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T? Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola aangua kicheko kuhusu kiwango cha Manchester United

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ametoa kicheko hicho alipoulizwa swali wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kiwango cha wapinzani wao, Manchester United jinsi walivyoanza msimu wa 2023-24. Baada ya kucheka, Guardiola akasema “Hawakuanza kama walivyotarajia ni kama ilivyo kwa...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Franchise Business Model

    Mfumo wa franchise ni mfumo wa biashara ambapo mmiliki wa biashara au kampuni (inayojulikana kama "franchisor") hutoa leseni kwa mtu au kampuni nyingine (inayojulikana kama "franchisee") kuruhusu kutumia jina lake, bidhaa, huduma, na mfumo wake wa biashara. Hii inaruhusu franchisee kuanzisha...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kumbe huu ndo mtazamo wa Wazungu kuhusu watawala nchi za kiafrika?

    Nilikaa sehemu hivi hapa Morogoro sehemu inaitwa Amadia nikisubiri passport size pictures nilizokua nimepiga moja ya studio maeneo haya. Pembeni alikua amekaa Mzungu mzee wa makamo 70 years + kumkadiria. Nikamsalimia na yakaanza maongezi ya hapa na pale. Kuna mambo kadhaa aliongea...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu madai ya Wakulima kudai kucheleweshewa malipo ya Mahindi

    Wakulima wa maeneo mbalimbali Nchini waliofanya biashara na Serikali kupitia Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko mnamo Agosti 2023, na kuahidiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi (Agosti 21 hadi 25, 2023) wamesema hawajapata malipo yao na hakuna maelezo kutoka idara husika. Wamesema mazingira...
  8. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant. Yuko anauliza je kuna umuhimu wa yeye kwenda TRA kufanya interview na akaachana na UDSM maana salary scale ya TRA...
  9. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu kupoteza kumbukumbu

    Habarini wanajamii, Naomba nizungumzie kwa uchache sana niyajuayo kuhusiana na ugonjwa wa kusahau ama kupoteza kumbukumbu unaojulikana kitaalamu kama amnesia. Kusahau ni kushindwa kukumbuka au kuweza kutengeneza kumbukumbu mpya kabla/ baada ya hitilafu kutokea kwenye mfumo wako wa kuhifadhi...
  10. KEMPANJU BOY

    JamiiForums Tanzania Ujue mzimu wa Kempanju wa ukoo wa Abashambo wa Kiziba, Misenyi

    Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya Buyango, kijiji Lwamachu kitongoji Nyakihanga ambapo ndiko haswa nyumbani kwa ayo majina mawili ambayo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  12. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

    Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos. Kosakosa alizofanya Baleke...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Haftar ashutumiwa kuhusu mafuriko ya Derna

    Shutuma zimeanza kuelekezwa kwa general Haftar na ukoo wake kuhusianan na mafuriko yasiyo kawaida yaliyosababisha watu 11,300 kufa na wengine zaidi ya 10000 wakiendelea kutafutwa chini ya vifusi vya majengo na baharini. Meya wa mji huo Akram Abdul Aziz ambaye kwa sasa amesimamishwa amesema...
  14. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kadhaa kuhusu mwenge

    Maswali yangu ni kama ifuatavyo: 1)Tukiachana na blah blah faida inayopatikana kwa kuukimbiza mwenge ni nini hasa baada ya mabilioni kuteketea kwenye ukimbizaji wa mwenge ni kitu gani kinapatikana. 2)Mwenge huwa unahifadhiwa wapi(Mkoa) na mahali gani(jengo)? 3)Kiongozi wa mbio za mwenge huwa...
  15. doup

    JamiiForums Tanzania Ushahidi waanza Kutolewa kuhusu madai ya kuwepo Kwa Alliens na UFO

    Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object). Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama siasa ni maisha, basi katiba ni document ya kisiasa juu ya mgawanyo wa madaraka na utowaji haki

    Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko. Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
  17. covid 19

    JamiiForums Tanzania ushauri kuhusu service provider mzuri wa internet - fiber

    habari wakuu naomba ushauri kazi zangu zinahusisha kwa kiasi fulani wateja kuwa na internet hivyo najikuta nalazimika kuwaunganisha wateja wangu na watu wa internet provider mara nyingi. nimepiga calculation zangu nimekuta nimeunganisha takriban wateja 16 ndani ya mwezi tu hawa wote...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi limeripoti juu ya sakata linaloendelea kuhusu uuzwaji wa Kiwanda cha NPC Kiuta

    September 14, 2023, kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Wajumbe watano wa bodi ya Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (Kiuta), wanakabiliwa na tuhuma za kuuza hati ya kitalu namba 13 ya eneo la kiwanda hicho bila kushirikisha uhalali wa idadi kubwa ya...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Biashara ya Clearing and Forwarding Agent

    Habari za wakti huu; Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
  20. karv

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu brela

    Habari za wakati huu wapendwa Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa kurekebishwa na nyingine kuongezwa lakini nilipoingia kwenye akaunti yangu napata ugumu wa kuendelea...
Back
Top Bottom