Wazee wanatuchanganya kuhusu kuoa

On future wanawake wasomi watafaa. Ila kwa sisi generation ya 1990's wanawake wasomi hawatufai kwa sababu Bado hatuamini katika usawa lakini miaka 10+ ijayo usawa HALISI utakuwepo
 
Yoyote humo anaweza kuwa msomi japo sikuzi kuna wenye bachelor, masters ama PhD ila hawajaelimika
Hivi Kuna mahala ktk ndoa hizo elimu (bila kipato) zinatumika? Kwamba asiyesoma hajui:-
- kusonga ugali?
-kukata mauno?
-hawezi kuzaa?
-hana mayai?
-hawezi kulea watoto?
-hawezi kufanya kazi za ndani?
Au nnn hasa kinahitaji elimu ktk ndoa??

Nilidhani hoja ingekuwa mke naye achangie kipato ktk ndoa.
 
Usomi inaanzia level gani?
La saba?
Kidato cha nne?
Kidato cha sita?
Diploma ?
Bachelor?
Masters?
Ama PhD??

Choreni mstari halafu tuanzie hapo kujadili.
Yoyote humo anaweza kuwa msomi japo sikuzi kuna wenye bachelor, masters ama PhD ila hawajaelimika
Hivi Kuna mahala ktk ndoa hizo elimu (bila kipato) zinatumika? Kwamba asiyesoma hajui:-
- kusonga ugali?
-kukata mauno?
-hawezi kuzaa?
-hana mayai?
-hawezi kulea watoto?
-hawezi kufanya kazi za ndani?
Au nnn hasa kinahitaji elimu ktk ndoa??

Nilidhani hoja ingekuwa mke naye achangie kipato ktk ndoa.
Ni ujinga tu
 
Mitandaoni na mitaani wazee wetu wanatushauri kutokuoa wanawake wasomi.

Wakati huohuo hao wazee wanawasomesha mabinti zao, inamaana hawataki mabinti zao waolewe?
Kusikiliza jambo kwa sababu limesemwa na wazee tu ni logical fallacy ya argument from authority, pia ni logical fallacy ya argument from tradition.

Wewe mwenyewe unafikiri vipi?
 
Back
Top Bottom