Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani?

Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za kutafuta taji. Sasa atamtoaje kwenye reli?

Ndiyo maana hili linasemwa hadharani ili hatua za kumuondosha zikichukuliwa umma usishangaye.

Ushauri huu wa CDF una shari, tena shari kamili. Ungekuwa na heri ungetolewa na CDF kule kule ikulu kwenye briefingi za kila siku zinazohusu ulinzi na usalama wa taifa hili.

Yetu macho, acha tuone.
 
Una mpatia kiki tu huyo wa kiafya mbona umri na afya yake ni tatizo. Kwanza Hana nguvu kwenye chama. Pia Hana ushawishi kabisa, homa tu alilia
 
Una mpatia kiki tu uyo wa kiafya.mbona umri n afya yake ni tatizo.kwanza Hana nguvu kwenye chama. Pia Hana ushawishi kabisa.homa TU alilia
Kuwa na akiba ya maneno mkuu.....Magu alikuwa na ushawishi gani kwani.
 
Back
Top Bottom