kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imejifunza mlipuko wa Gesi Kenya!Ujenzi kilalela tutavuna tunachokitaka! Wananchi wasubiri kupewa pole wakiwa kaburini?

    Leo 2-2-2024 "Lori moja ya nambari ya usajili isiyojulikana ambayo ilikuwa imesheheni gesi ililipuka na kuwasha moto mkubwa ulioenea sana. Mtungi wa gesi uligonga Godown na kuteketeza godown hilo linalohusika na nguo na nguo," msemaji wa serikali Kenya Isaac Mwaura alisema. TANZANIA. Biashara...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  3. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi kituo cha KIBO ni kero kubwa

    Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO. Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami. Je kama mmeona kuna...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanajua usafi wa mwili na mazingira yao ila wengi ni wachafu na wasio na kinyaa kabisa!

    Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa. Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Tunaendelea kusitisha safari za Treni kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha

    Dar es Salaam, Tarehe 30 Januari 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa linaendelea kusitisha huduma ya usafiri wa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Katavi, Kigoma na njia ya Kaskazini kuelekea mkoani Tanga...
  6. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  7. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

    Nasikia huko Kibaha, Chalinze na Morogoro imepiga ya maana na Watu wametafutana. Wa Mabondeni mkae tayari leo oky?
  9. haszu

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, imetabiri mvua kubwa inyotarajiwa kunyesha tar 27 na 28 Januari 2024. Mvua hizi zimetabiriwa kuwa tarehe 27 Januari 2024 zitanyesha mikoa mitano, Morogoro Kusini, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe. Aidha kwa siku ya Jumapili Januari 28, 2024 zitanyesha Morogoro...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo uliongoza Kurekodi Majaribio Mengi ya Vitendo vya Udanganyifu mwaka 2023

    Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666. Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mama ni dhahabu yenye thamani kubwa duniani

    Salaama? Leo nilkuwa napitia picha za zamani, nikakutana na picha ambayo ilinifanya nilie kwa furaha, mwanamke shupavu, aliyejaa tabasamu usoni akiwa na beseni lake nyuma akiwa amebeba mtoto aliyefungwa na kanga. Hakika nimekumbuka mbali sana. Mimi kipindi nakua mzee wangu alikuwa mlevi sana...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

    Hello! Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi. Turudi kwenye mada. Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu). Mfano *Nitakusamehe kila kosa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

    Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
  15. Mbavu mbili

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF wanatoza gharama kubwa kubadili kadi chakavu?

    NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa. Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu. Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kwa unayetaka kuanza project mpya na kubwa zingatia Hili utanishukuru baadae

    Unapota kuanzisha mradi mpya na mkubwa,mradi unaomini ukiusimamia vizuri utakutoa basi huna budi kuzingatia jambo Hili la mhimu ambalo wengi Huwa tunalisahau kwenye mipango yetu,jambo lenyewe ni Hili hapa; Kuzingatia kuwa wewe ni binadamu na unatakiwa kupata mahitaji ya msingi kama...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

    Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa. Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
  19. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Walalamikia Mvua kubwa, wasema ni chanzo cha mgao

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka. Kupitia taarifa iliyotolewa na...
  20. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ni kubwa jinga ila kitandani yako Vizuri sana, nifanyaje?

    Hivi ushawahi kuwa na mpenzi kubwa jinga akili haimo kichwani? Lakini kitandani yuko vizuri balaa? Niambie uliendelea nae kimahusiano au ulimbwaga?
Back
Top Bottom