Tanganyika imejifunza mlipuko wa Gesi Kenya!Ujenzi kilalela tutavuna tunachokitaka! Wananchi wasubiri kupewa pole wakiwa kaburini?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
shell.jpeg

Leo 2-2-2024 "Lori moja ya nambari ya usajili isiyojulikana ambayo ilikuwa imesheheni gesi ililipuka na kuwasha moto mkubwa ulioenea sana. Mtungi wa gesi uligonga Godown na kuteketeza godown hilo linalohusika na nguo na nguo," msemaji wa serikali Kenya Isaac Mwaura alisema.

TANZANIA.
Biashara za mafuta duniani kote ni biashara za ma-tycoon. Ni Biashara za watu wasiogusika na wenye uwezo wa kumuweka kiongozi yeyote mfukoni na pia wao wanaweza kuamua fulani awe waziri au asiwe waziri.
Matajiri hao waliibuka mwaka 2021[haijulikani sababu ya kusubiri mpaka huo mwaka] ila inasadikika huwa wanakuwa na fedha nyingi zisizo na kazi na kama hzo fedha zina vumbi kidogo basi kusafishwa inabidi zipakwe mafuta ya kituo cha mafuta ili zisafishike.

Watu hao wamejenga kuanzia Mikocheni kwa Warioba, Rose garden pale , Tandale kila baada ya nyumba 5 ni kituo, sinza ndio usiseme, wameweka kwenye kamazi ya watu. Ukija pale Studio kinondoni wameweka sehemu ambayo ni nmakazi na hata namna ya kuingia haipo.Vituo vimejengwa kama uyoga nchi nzima huku nchi ikilia hakuna dola, uchumi haukui na mamlaka zipo , sijui watanzania wasemeje ila kama tumeamua kufumba macho, siku moto ukiibuka ndio tutaelewa hili jambo
Kuanzia 2021 May, vibali vya ujenzi kinyume na sheria za mipango miji, NEMC, JIJI na miji vim ekuwa vikitolewa kiholela.

EWURA
Hawa ndio wasimamizi na watoa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta na gesi na namba zao za smu BURE 0800110030 au andika barua pepe info@ewura.go.tz.
Inakuwaje EWURA wanatoa vibali sehemu ambazo kuanzia Mwalimu Nyerere mpaka Magufuli walikataa sasa ndio waweke sehemu yeyote?

NEMC.
Hawa ndio wasimamizi wa mazingira na ndio wanaotoa kibali ili kuruhusu kuendelea kujenga kituo cha mafuta. Waziri wa ardhi aliyetumbuliwa Angela Mabula alisema kituo na kituo kiwe mita 500 yaani viwanja 5 vya mpira na hili lilikuwa ni agizo kwa NEMC na malekezo ili kuepusha adhari iwapo kituo kitalipuka moto lakini badala yake sasa vipo mita 50 tu.

GESI ZA MAJUMBANI
Hizi ndio zimelipuka leo huko Embakasi Nairobi, kwa ujumla hii ni hatari sana na Tanganyika huku zinauzwa kama mtu anavyouza nguo za ndani yaani zimeanikwa kama zile nguo za vikamba ambazo zamani ilikuwa huwezi kuona zimeanikwa lakini sasa zipo hadharani.
Gesi hizi ni hatari na mtungi ukipasuka unaweza kusababisha maafa makubwa sana. Wauzaji wa jumla walipaswa kukaguliwa kabla ya kupewa vibali na leseni zao zitoke EWURA.
wauzaji wadogo nao imekuwa kero maana wanauza kwenye DUKA LA MANGI ambapo ni hatari hasa kwa sisi tunaolala nyumba za kupanga!
Viongozi wapo tu, wanasubiri watu wafe, watoe rambirambi na mapumziko ya kitaifa.
 
View attachment 2891741

Mkuu nenda kwenye suruhisho
 
Back
Top Bottom