Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa.

Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa kushinda uwezo wako tambua huyo mwanamke wameshindwa kukwambia tu hapo sio wife material kwako.

Chunguzeni ndoa zenye mahari kubwa mwisho wake ni upi.
 
Kwenye mahali bhana,pasua kichwa.
Mwanamke anaejua maisha,hatakubali ukamuliwe kama anajua uwezo wako.
Lakini ukijifanya taita manundu harali yako.
Ila mwanamke wa mahali kubwa wanaishi maisha mabovu
 

Attachments

  • 572072.png
    572072.png
    67.9 KB · Views: 3
Unaelewa maana ya source code lakini? Km ni autocorrect sawa, km umedhamiria bas “source code” ni chanzo cha kitu ambacho ukikibadilisha unabadilisha matokeo .

So ukisema source code ya mahari ni dini na mila za watu.

The term come from programming concept, code unazoandika e.g kwenye C++ zinaitwa source code, zikiwa compiled zinakua objective code
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom