Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,456
- 872
NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa.
Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu.
Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya wanufaika watano watahitaji Tsh 100000 kufanya mabadiliko ya kadi.
Kwa Nini gharama hizo tunacover sisi wachangia huduma na Siyo mfuko wa NHIF?