Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,378
Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa
Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius
Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo mengi zipo chini sana na ndo maana ni ngumu sana kwa watu wetu kufanya mambo makubwa, kinachofanya wazungu wawe wabunifu ni kwa sababu stabdard zao za vitu/mambo zipo juu sana ili uitwe genius lazima uwe umefanya kitu/jambo linaloonekana sio kirahisi rahisi
Kuna wanfunzi wanakua wamepata A masomo yote wale sio magenius ni wanauwezo wa kukariri ni kosa kuwaita magenius
Kuna watu wana-akili sana ila sio magenius hiki ni kitu ambacho watu wanatakiwa wafahamu- kuitwa genius ni kuwa extra-ordinary kufikiria jambo au kitu ambacho hakuna mtu aliyewahi kufikiria
Genius anaweza akawa wakawaida sana darasan hata ufaulu wake ukawa wa kawaida sana ila akawa na idea za kuleta product au solution ya tatizo linaloisumbua jamii fulani
Vigezo vya mtu kuitwa genius
Uwe umevumbua jambo au kitu-nivizuri watu wakafahamu genius yoyote lazima awe amevumbua kitu hata akifa leo vimeacha alama hata miaka 200 ijayo