kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Kuna shida kubwa Bandarini, Serikali ipo kimya!

    Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua? Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa. Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

    UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni tafsiri halisi ya maiti inayoishi. Utoto ni raha kwa sababu utoto unahusisha ushirikiano wa mtoto...
  3. The best 007

    JamiiForums Tanzania KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma? Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
  4. Nahman

    JamiiForums Tanzania Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

    Hi guys… VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  6. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  7. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

    Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee. Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma kumiliki vitu vya anasa huku kundi la unaowatawala wakipitia dhiki haijengi taswira nzuri

    Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini. Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  13. ward41

    JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

    Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara. Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara. Mambo ya tohara yapo...
  14. ward41

    JamiiForums Tanzania Raia 10,000, wataalamu 140

    Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ndege kubwa ya abiria ya C919 yashiriki kwenye Maonesho ya Ndege ya Singapore

    Ndege kubwa ya abiria ya C919 ya China hivi karibuni iliwasili nchini Singapore ili kushiriki kwenye Maonyesho ya Ndege ya Singapore ya mwaka 2024 yanayofanyika siku hizi. Hii ni mara ya kwanza kwa ndege kubwa aina ya C919 ya COMAC inayozalishwa nchini kuonekana nje ya nchi. Hali hii inaonesha...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

    Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko. Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji. kwa mtu mwenye...
  17. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani niitumie kutibu uvimbe kwenye haja kubwa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu ni dawa gani inaweza kutibu viuvimbe na vidonda sehemu ya haja kubwa,na wakati wa kujisaidia damu inamwagika na maumivu makali, pia vinawasha sana. Ni dawa gani ninunue dukani inayoweza kunisaidia.
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Taasisi za serikali na taasisi kubwa za binafsi acheni kuwadumaza na kuwarudisha kwenye umaskini wajasiriamali wadogo

    Kuna mambo yanaendelea kwenye nchi hii yanaonekana madogo lakini kadiri siku zinavyoenda yanaweza leta shida. Wote tunajua nchi yetu kama zilivyo nchi nyingi duniani ina uhaba mkubwa wa ajira. Tofauti na nchi kama China ni kuwa nchi karibu zote za Afrika zinaenda kuwa na tatizo kubwa zaidi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ruvu: Kuna foleni Kubwa Barabara ya Morogoro

    Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
Back
Top Bottom