kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

    Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW. Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo...
  3. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  7. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  8. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

    " Nimekupa kila kitu na bado umeniacha?" Alisikika dada mmoja akilalamika Kwa mashemeji JE wanaume?! Sentensi hii ukiiskia, huyu aliepewa kila kitu unamwelewa kweli? Kwani wanaume hii sentensi ina maana gani ukiskia mwanamke analalamika hivi? NYUZI ZANGU ZINGINE 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala mji mpya wa Dar ujengwe nje ya Dar na sio kulazimisha kila kitu kufanyia kwenye hii Dar ya sasa

    Wakuu leo nikiwa natafakari upuuzi unaofanywa na TEC nikajikuta nakumbuka ujinga mwingine unaofanywa na wanaoitwa wataalamu wetu. Hii ni kulazimisha kila jambo la maendeleo kufanyia ndani ya jiji la dar hali inayopelekea kuwa na bomoa bomoa nyingi zinazoleta uharibifu mkubwa wa mazingira. Kuna...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ukiona watu wanalazimisha sana salaamu kutoka kwako ujue tayari umewazidi kitu

    Salaamu ndio desturi hasa katika jamii zetu hapa Tanzania, lakini kuna baadhi ya mikoa ambayo kuna wimbi kubwa la jamii ya watu Ambao hawaja staarabika. Mfano mkoa wa Geita ni kawaida sana kumpa mtu Salaamu na akakataa kabisa kuitikia tofauti na mikoa ya pwani kama Tanga na kwingineko. Mikoa...
  12. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  13. Exile

    JamiiForums Tanzania Wale wawekezaji wa MTFE wapigwa na kitu kizito hela hazitoki

    Maisha ni magumu ndio lakini sio kinachokuja kwako ni chakula, kwanini watu hawajifunzi any way endeleeni kutapeliwa tu.
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha. Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Hazina Haina Kitu: Wazabuni, Makandaradi, Madeni, ni taabu

    Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi...
  16. Engager

    JamiiForums Tanzania Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  19. Tulibhalega

    JamiiForums Tanzania Simba sc itarudisha makombe iliyoyapoteza

    Wasalaam wana jf Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali. Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka 2023 tena mbele ya mtani. Tatu nijielekeze kwenye nada; Nimeangalia mechi tatu za simba kwa makini...
  20. Mi Cielo

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
Back
Top Bottom