Mungu anatuchukia Watanzania? Kama kuna kitu tulimkosea atusamehe

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,685
34,493
Kuna mambo huwa yanatokea humu nchini kwetu mpaka nasema kuna siku hii nchi Mungu ataifanya kama Sodoma na Gomora.

Tulimkosea nini Mungu? Atudamehe, inatosha sana. Au ni Nyerere kugombana na Waisrael au ni nini?
Au ni ule mwenge wa uhuru. Zile takwimu za nchi ambazo hazina furaha Tanzania kila mwaka iko top 10 ni ukweli mtupu.

Mimi binafsi jana sijalala kwa huzuni kuu. Mungu akiendelea na msimamo wake huu baada ya miaka kumi atajikuta yuko peke yake, watu watamuasi na kutafuta furaha kwenye pombe, waganga, zinaa na roho mbaya.

Mungu tusamehe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom