Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo milele, namaanisha uwe na mindset kuwa mdada yoyote nikimtongoza akinikubali sawa, asiponikubali sawa, ruhusu mwanamke afurahie pesa zako lakini kamwe usiwekeze moyo wako kwake, hata biblia inasema linda moyo wako kuliko vyote ulindavyo maana huko ndo kunakotoka chemichemi ya uzima.

Kwa mfano mimi kwenye mazingira nliyopo Mtaani nimezungukwa na wadada wengi single, wengine wameolewa, wengine wanachuo, baadhi wanavutia , ila moyoni sijali hata mmoja, kuanza kuwaza kama huyu ananipenda au la, nkimfata atakubali au la, nifanye nini ili nimpate, hayo kwakweli moyoni mwangu hayapo, niko huru kihisia yani kwa kifupi i don't give a f*ck. Msitafsiri vibaya, sio kwamba nawachukia hao wadada, la hasha, namaanisha kwa mfano hata mdada awe mzuri vipi, kihisia nipo neutral, akae sawa, aende sawa.

Faida ya kuwa huru kihisia, ni kwamba kwa mwanaume itakuongezea ufanisi kazini, itakupunguzia matatizo ikiwemo ya kwenda jela, kuaibika mbele ya ndugu, marafiki na co-workers, kuumia kihisia, kufilisika etc matatizo ambayo yangeweza kuepukika iwapo utakuwa na hii mindset ya kigiriki.

Tatizo letu wanaume ni kwamba baadhi ya wengi wetu tunawekeza hisia zetu, matarajio, na pesa kwenye mahusiano yetu na wadada, that's a future recipe for disaster.

Mruhusu mwanamke ale pesa zako apendavyo, lakini kwa usalama wako kamwe usiwekeze moyo/hisia zako kwa mwanamke. Kama una dini ni bora moyo na hisia zako uzielekeze kwa Mungu.
 
Mwanamke yeyote mwenye akili sanaaa, hata asipokua mzuri sana ila awe mjanja yani,
huyo ndio huwa namtamani,
Hivi genius wa kike wapo kweli ???
Siwaoni ety.
Skuli macrush wangu wa kike mostly ni waalimu wangu wa kike.

Ila sura na makalio ya mwanamke haviwezi kuniatract hata kidogo
 
Binafsi nina mpenzi mmoja, na ni complete package. Sijui kama naeleweka nikisema ni complete package.

Ananipa Amani mno tofauti na kipinid nilivyokuwa single (6yrs). Nimewekeza hisia hapo.

Faida yake ni kwamba kutamani wanawake wengine imekuwa ngumu sana hivyo kutotumia fedha, muda, hisia kwenye mahusiano mengine au wanawake wengine.

Mie nashauri kuna muda inabidi uwe kwenye mahusiano ya mtu ambae una ndoto ya kufunga nae ndoa na sio kuingia ktk mahusiano na mtu just ilimradi siku ziende.

NB: Nilifanya vetting kwa miaka miwili ndio nikaamua kumtongoza, nikazungushwa mwaka mzima mpk kukubaliwa.
 
shida ni pale utakapoona mwingine na ukahisi anafaa sana kuliko uliyenae.
 
Hongera mkuu,wewe umeijua thamani yako
 
shida ni pale utakapoona mwingine na ukahisi anafaa sana kuliko uliyenae.
Hapana si rahisi, kuna vitu ambavyo huvipati kirahisi.

Mwanamke swala 5,
Ana shape (Curvy)
Bado mbichi..
Rangi ya Dubai..
Akili na heshima
Financial literate (unamtumia hela anairudisha/anaitunza next time ukitaka kutuma nyingine anakwambie ile ya siku ile bado ipo).
Haringi, anaongea na kila mtu bila kudharau hali ya mtu. (Ni Classy ila hajiwek hivyo kujikweza)
Sura ndio usiseme, unaweza tembea nae sehem na usione wa kumfunika.
Anajistiri.. havai uchi
Havuti shisha wala hanywi pombe.

Na mavitu mengine huko mengi.. mtu wa hivi kupata substitute yake ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom