kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Benjamin William Mkapa imeandaa mdahalo kuhusu Maisha ya Rais Mkapa

    Marais walioacha legacy huandaliwa midahalo. Lkn wale wenye legacy' za kubumba....NEVER!. Wenye akili mshaelewa maudhui ya uzi huu.
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Dear Nikuambie kitu......

    Kijana Ukisikia hii kauli toka nduki. Mzinga ndo unafuata....kina Dada mmezidi asee. Fanyeni kazi, "supa wuman" Ni pamoja na kufanya kazi halali sio huu uharamia mnaofanya sasa. Full mizinga mnataka tukaibe?
  3. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyowaacha wapenzi wapenda pesa

    Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni. Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi. Maajabu ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

    Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani kimeufunika ghafla ule 'Mvumo' wa Hasira za Watanzania wa Mitandaoni kwa Ole Sabaya na Paul Makonda?

    Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda. Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia siyo kila Kitu cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ni cha Kuigaiga tu, tulia nawe tengeneza 'Leadership Style' yako tafadhali

    Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

    Wakuu. Upo vizuri kwenye kitu gani hasa? I mean kila mtu anakuwa na professional yake, lakini pia kuna ile unakuwa upo vizuri kwenye sekta au kitu fulani. Mapenzi, ngumi, umbea, uchawi, Udangaji,ujambazi, wizi, soka, pombe, technology, siasa, kwa mpalange, elimu, riadha, kuongea sana, muziki...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Ofisi za Bunge ukoje kiutendaji? Naona kama kuna kitu kinamshusha Ndugai

    Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake. Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa Ofisi ya Bungeni ukoje?
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: "Rice Cooker vs Slow Cooker" ni kitu Kimoja?

    Wakuu mambo vipi? Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana. Sasa nimekutana na kitu kinaitwa Slow Cooker, je ndio hiyo hiyo Rice Cooker au vitu tofauti? Kwa kifupi nataka dude litakaloweza kupika nyama, wali, mbogamboga etc...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

    Wife ananidai laki 7. Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema. Mkiuona mwezi nishtueni chap nipunguze laki 5 mbili atanisamehe nikimpa chips chumbani.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

    Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada. Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko. Nilishindwa kulala, hii maana yake...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Inakuaje Tabora ambayo si tegemezi kwa kila kitu inakuwa na barabara nzuri kuliko Mbeya tegemeo la chakula?

    Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa. Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...
  14. Memtata

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanifunza kitu

    Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia mwisho wake umefika

    Kwa hao wagombea hapo, ni dhahiri sasa enzi za Karia zimeisha. Nawapa nafasi Ally Mayayi na Tarimba Abbasi
  16. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wananukuu kila kitu kutoka Ujerumani ambako habari ya kubadilishana madaraka ni nadra sana

    Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005 Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha Samia Suluhu Hassan kamkuta Huko duniani kafanya kazi na:- Marais 4 wa Marekani, Mawaziri Wakuu 2 wa Canada, Mawaziri Wakuu 3 wa Japan, Marais 4 wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Habari zenu wadau Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa. Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu nikakutana na jamaa yeye anauza urembo nae pia tunazunguka wote katika minada. Biashara yake ilianza...
  18. safuher

    JamiiForums Tanzania Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

    Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo. Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia. Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi. Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)?

    Good evening jamiiforums Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)? Marekani ana-sign peace deal na wanamgambo? How comes? Americans have enough cash, fully equipped military/intelligence machinery plus...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya Kijiografia, Tabia Nchi na Hali ya Hewa inaifanya Tanzania kutaka kila kitu kwenye Kilimo

    Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali na Bahari, maziwa, mabwawa, mito na vijito. Hali hii ikijumuisha na sifa mbalimbali za udongo...
Back
Top Bottom