Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,152
Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Wewe umeuongelea moyo wangu.
 
Kaleman alishatolewa. Polepole katupwa huko. Kwa hiyo makonda kaletwa kimkakati kung'oa mzizi mrefu?. Kweli kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu. Pia kwenye hii nchi tutaona mengi
 
Hakuna cheo chenye lawama na kigumu kama cha uwaziri mkuu.

Binafsi naona majaliwa ana ustahimilivu mkubwa kwa kiasi chake, tokea enzi za hayati vile alivyokuwa anasemwa hapa na pale, mara kupigwa kwa shangazi zake.
Kipindi cha hayati kutoonekana na kufariki kwake majaliwa alibeba lawama kwa kiasi chake kwa taarifa zisizo wiana.

Kipindi alichopo sana yalipo tokea huko bungeni alisemwa yeye kimtindo, kauli ya huko bungeni kwa kina kasimu!

Kuletewa msaidizi , kuagizwa na muenezi aliye ofisini kwa siku mbili hali yeye yupo madarakani kwa miaka nane karibu.

Nadhani kabisa ameshajiandaa kisaikolojia ndio maana kila aonekanapo amejaa tabasamu.

Pamoja na yoote lakini amejitahidi sana kuongoza , wananchi hatuna deni naye.
 
Kaleman alishatolewa. Polepole katupwa huko. Kwa hiyo makonda kaletwa kimkakati kung'oa mzizi mrefu?. Kweli kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu. Pia kwenye hii nchi tutaona mengi
Yaani ukishaona watu wenye mdomo lakini hawana akili kichwani kama Paul Makonda na Philip Mulugo wanapewa jukwaa la kusema chochote juu ya ubovu wa baraza la mawaziri basi jua wazi kwa 100% system imewatuma. Ni suala la muda tu.
 
Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.

Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Ukweli mtupu bila chenga chenga...
 
Mbona Makonda karudishwa. Nadhani ulichosema kibakie kuwa opinion siyo facts.
 
Back
Top Bottom